Kauli ya RPC wa Arusha alioitoa jana

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
kauri aliyo itoa jana RPC
wa Arusha inanipa wasi wasi sana
Kwamba walio rusha bomu
anawafaham ila hawez kuwataja coz
wana nguvu zaidi yake kwa kwel
cjaelewa alikua anamansha nin?

inasemekana alîitoa wakati akihojiwa na mhariri wa Nipashe
 
mkuu are serious kabisaaa? hebu nifanye niaamin hata kwa 30%? mbona kazi inakuwa nyepesi saana!
 
Hawezi kutoa kauli nzito hivyo kirahisi kama unavyodhani huu ni uongo mtupu.
Watu wamefiwa na ndugu na jamaa zao then ye kirahisi aseme anawajua wauaji labda angeama Arusha jana hiyo kabla nyumba yake haijatiwa kibiriti.
 
kauri aliyo itoa jana RPC
wa Arusha inanipa wasi wasi sana
Kwamba walio rusha bomu
anawafaham ila hawez kuwataja coz
wana nguvu zaidi yake kwa kwel
cjaelewa alikua anamansha nin?

inasemekana alîitoa wakati akihojiwa na mhariri wa Nipashe

NI hekima kuwashauri viongozi wetu kama wanapewa madaraka halafu wanabanwa kufanya kazi zao na kuamriwa wafanye watakavyo mabosi, Ni vyema wawe wanajiuzulu tu. Mbona Idrisa alijing'atua baada ya kuona hawezi kukandamizwa kila siku?
 
Nina wasiwasi na MWIGULU NCHEMBA
wa Arusha inanipa wasi wasi sana
Kwamba walio rusha bomu
anawafaham ila hawez kuwataja coz
wana nguvu zaidi yake kwa kwel
cjaelewa alikua anamansha nin?

inasemekana alîitoa wakati akihojiwa na mhariri wa Nipashe[/QUOTE]
 
Si kila mara mnawasakama waarabu, Je waalabu wamehusika humu ?
acheni ubaya... fanyeni wajibikeni.
 
Radio one wamesema hivi punde kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ataongea na waandishi watarusha hewani
 
Nchemba ni wa kuuwa la sivyo ataleta madhara makubwa kwa UJINGA wake anaofikiri yeye na watu wake Wa CCM
 
Back
Top Bottom