- Thread starter
- #41
weye ndiye kenge, mbwe atahusikaje? Wewe hujui muuaji ni mwigulu?
Weka ushahidi hapa, mimi nikisema muuaji ni Dr Slaa utakubali?
weye ndiye kenge, mbwe atahusikaje? Wewe hujui muuaji ni mwigulu?
no matter what killer ni Mwigulu. Mwigulu muuaji. Anastahili kuhukimwa kifo. analipeleka taifa pabayaWeka ushahidi hapa, mimi nikisema muuaji ni Dr Slaa utakubali?
Hilo la ajali ya pikipiki kama ni kweli(maana hujakanusha) sasa nimepata jibu kwa nn always unapost uozo happa, hiyo ajali kumbe iliharibu ubongo wako na kukuondolea uwezo wa kufikiri! from now nakuchukulia kama chizi tu!PERFECT,
Mkuu, hayo yote yametoka wapi tena?
Kumuomba Mbowe ashirikiane na polisi ni unafiki na uchonganishi?
Kuhusu uzushi nadhani uelekeze tuhuma hizi za Slaa, kwani yeye ndiye amekuwa akijitutumua kuwa na intelijensia mathubuti kumbe hana lolote.
Mbowe alisema chama chake kwa sasa hakiwezi kutoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo la bomu kwa sababu wanafuatiliwa na baadhi ya askari polisi na maofisa wa Usalama wa Taifa.
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.
Alisema wanachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa watu waliojeruhiwa katika tukio hilo wanapata matibabu kwanza.
Mbowe aliwataka watu wote waliopotelewa na ndugu kufika katika hospitali zote za mji wa Arusha kutambua ndugu zao waliojeruhiwa.
Alisema Chadema itagharimia matibabu ya watu wote waliojeruhiwa katika tukio hilo.

My take;
Mhe Mbowe, watanzania wote tungependa kujua hayo mambo mengi yaliyo ndani ya tukio la mlipuko uliotokea kwenye mkutano wako wa kufunga kampeni ni yapi hasa.
Ni vyema ukaweka hisia zako juu ya jeshi letu la polisi pembeni, na ushirikiane nao kuwapa ushahidi usio na shaka ili waweze kuwabaini wahusika wakuu wa tukio hilo la mlipuko.
Wewe tamko la Mbowe linakuwasha nini? ebu fuata mambo yako wewe mchumia tumbo mkubwaKweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra.
Kwahiyo sasa hivi hamtaki tena kauli wala ushahidi wala kujua anayo yajua Mbowe kuhusu tukio la mlipuko?
Hata kama tumefiwa na tunaendelea kuuguza majeruhi, haituzuii kuwatafuta wahusika wa tukio.
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.
Alisema wanachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa watu waliojeruhiwa katika tukio hilo wanapata matibabu kwanza.
Mbowe aliwataka watu wote waliopotelewa na ndugu kufika katika hospitali zote za mji wa Arusha kutambua ndugu zao waliojeruhiwa.
Alisema Chadema itagharimia matibabu ya watu wote waliojeruhiwa katika tukio hilo.
Mbowe alisema chama chake kwa sasa hakiwezi kutoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo la bomu kwa sababu wanafuatiliwa na baadhi ya askari polisi na maofisa wa Usalama wa Taifa.
My take;
Mhe Mbowe, watanzania wote tungependa kujua hayo mambo mengi yaliyo ndani ya tukio la mlipuko uliotokea kwenye mkutano wako wa kufunga kampeni ni yapi hasa.
Ni vyema ukaweka hisia zako juu ya jeshi letu la polisi pembeni, na ushirikiane nao kuwapa ushahidi usio na shaka ili waweze kuwabaini wahusika wakuu wa tukio hilo la mlipuko.
Ni vema Mh. Mbowe ukatoa tamko kama chama kwa haraka iwezekanavyo. Kwasasa katika jamii zimezagaa habari nyingi zenye mkanganyiko na zingine zikiwahusisha CHADEMA ukiwemo wewe mwenyekiti wake. Mbona POLISI wao wamekwisha toa tamko lao, kwanini kama chama msikae maramoja na kutoa kauli.
View attachment 97831
Kutafuta wahusika na mashahidi wa hili tukio pia ni huduma. Mimi nimewekeza nguvu zangu kuwapata wanaojua chochote kuhusu tukio la mlipuko lililo tokea jana.
Kweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra.