Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA

Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA

yaani sasa ccm ni kama wamepata penati isiyokuwa na golikipa....yaani ni kupongezana ndio kazi iliyo baki...
 
Yaache tu hayo mabundi ccm.....wao na posho tu.....akina wasira kazi yao kukoroma tu.
 
Ngoja warudi na single yao ya bomu kutoka Arusha, maana wao husukumwa na matukio ndo pumua yao walikuwa wameishiwa ya kuongea na majibu ya kwa nn hawakufanya vizuri chaguzi udiwani lkn wamepata pa kuanzia sasa.
 
SASA KM WAJINGA WANADENGUA KUHUDHUIRIA WALIFIKIRI BUNGE HALITAENDESHWA?
Hata kwa miaka yote iliyobaki Serikali ya tanzania itakuwepo na kila kitu kitaenda bila kipingamizi chochote
Hivi Bunge lenye Kebehi madharau faida yake ni nini mliyoipata toka CHADEMA waingie humo Ukumbini
Ni vizuri kabisa na kwenye Katiba iorodheshwe watakaosusa au kuomba Muongozo Kura zipigwe na Bunge litaamua kutokna na kura
Sasa hao Wabunge wanaozila kuhudhuria wanajua ni Kodi za nani zinazowalipa Marupurupu na mishahara?

Mawazo haya yanapatikana kwa wapumbavu tu....ni ngumu sana kuyapata kwa watu wenye hekima na busara.
 
Wamebaki machiz tu kila kitu ndiooooooo mi nakuambia watakuja kuanzisha na wizara ya kulala coz wanapenda sana raha hawa majamàa
 
Mawazo haya yanapatikana kwa wapumbavu tu....ni ngumu sana kuyapata kwa watu wenye hekima na busara.
Naogopa kupigwa ban, serukamba you.... Ipo siku isiyo na jina mtatoa hesabu ya mauaji yote mliyoyafanya kwa uroho wa madaraka! uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye pua yako! Umejaa ujinga unaotokana na kuvimbiwa ufisadi! Umeniharibia siku kabisa!

tatizo ya mnaonunuliwa mnawaza pesa tu mda wote, NAIJUE KODI ZA MNAOWAUA NDO ZINAWALIPA HAYO MARUPURUPU NA MISHAHARA TATIZO LENU MNAAMINI WAZUNGU WATAWAPA KILA KITU!

Bunge limeisha salama bila ya wapumbavu wenye kupiga kelele na show on za kwenye Luninga kuwepo
Na Kikao kingine hivyohivyo wazile kuhudhuria waone kama Bunge halitaendelea sembuse Nchi yetu kufika salama.
hivi wamepata nini hasa kama Bajeti yote imepita? ni aibu kwenu mashabiki na utoto wenu maana nikisema ni upumbavu nitaonea mtu na sitaki dhambi, maana kuna wengine ni MITUSI tu kuanzia mitandaoni hadi Bungeni
 
Si kosa lako, kosa la mfumo uliokulea, umekufanya uone ufisadi na maovu mengine kama hayo kama dini... CCM na ufisadi ni kama ngozi ya mwili, ukiivua tu unakufa! Kwa hiyo endelea kula nchi, zamu ya wenzako ikifika nao watatesa japo sasa wanaumia kwa mashitaka ya uongo, wakati huo mfumo uliowalea utakuwa umefutika na ninyi mtakuwa mmeshuka!
 
Hapa hatuna Bunge kabisa, hao ni makada wa CCM wanjifurahisha kwa kuunga mkono serikali mia kwa mia,

Nachelea kusema ndiyo kwa kuwa kuna siku Mwigulu alisimama na kusema alikuwa anaongea kama kongozi wa chama. I was really shocked. Madam speaker akatulia kama maji ya kwenye mtungi hadi mheshimiwa sana Mwigulu alipomaliza kutoa povu. Sikuamini. Kwa hiyo kuna ka ukweli kuhusu hili bunge letu la sasa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Si kosa lako, kosa la mfumo uliokulea, umekufanya uone ufisadi na maovu mengine kama hayo kama dini... CCM na ufisadi ni kama ngozi ya mwili, ukiivua tu unakufa! Kwa hiyo endelea kula nchi, zamu ya wenzako ikifika nao watatesa japo sasa wanaumia kwa mashitaka ya uongo, wakati huo mfumo uliowalea utakuwa umefutika na ninyi mtakuwa mmeshuka!
Wakati mwingine mnaotaga ndoto za mchana?
hivi kukabidhiowa Nchi ni kwa yupi hasa wewe akili yako inakutuma unayemuamini katika hao waliovaa Magwanda,
mm sivui chochote Bartazar nahata ukiitwa Baltazar baki na ndoto zako za kulipua wenzako subiri huko Arusha Julai 14 ukabila wako utakuisha kwa Waarusha na Wameru

attachment.php

994813_344506645677235_207752771_n.jpg
 
Back
Top Bottom