Recent content by Lugoba Investment

  1. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

    Acha wivu.....Unataka aanze kukitumia kipaji chake akiwa na miaka 20?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Watanzania tuwe wakweli juu ya ufugaji wa kuku

    Gharama za ufugaji kuku kwa kiasi kikubwa zinategemea mazingira ya unapofugia hao kuku wako..... Kikubwa wanachokosea hawa Wahamasishaji wa hii miradi ni pale wanapozirahisisha changamoto za ufugaji zionekane rahisi rahisi sana kuliko uhalisia...na hapo ndipo wanapowafelisha watu wengi....
  3. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Kwanini tulidanganywa Obama ni Mkenya?

    Am following....
  4. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Mzunguko Wangu wa maisha ni namba 9 .....Hebu nambie ndo inakuwaje hapo
  5. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu amkemea Rais na kumuonya kutoingilia uhuru na utendaji wa Mahakama!

    Hahahahahahahahah nilidhani hapa Tz
  6. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na Shafii wakoseana adabu,warushiana tuhuma nzito nzito

    Mazeru zeru walio wengi ni wakorofi....Nadhani tatizo ni Psychological disorder.....
  7. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya 'doggy style'

    Duh....hz tafiti nyingine noma
  8. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Kubebwa korosho toka Mtwara hadi Dar haiwezekani na ikiwezekana watamaliza kusomba watamaliza January 2020 kwa magari 75 watatumia siku zaidi ya 420

    Dar kuna maghala ya kuhifadhia tani 90,000.. Magari yatabeba kupeleka kwenye maghala hayo sambamba na meli ya jeshi yenye uwezo wa kubena tani 500... Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya iliyosomwa na mkuu wa majeshi..
  9. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga aina ya kuroiler

    Unaposema hao kuroiler ni aina gani ya vifaranga unamaanisha nini
  10. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Ruge huyu hapa...

    Kudhoofu maana yake nini na Kukonda maana yake nini.....
  11. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu umerahisisha sana taratibu za mazishi na ndoa.

    Umesahau pia suala la elimu... Uislam hata ukiishia kusoma madrasa tu fresh hakuna haja kuhangaikia kwenda sijui primary, secondary wala university...
  12. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujanja jinsi ya kudownload video you tube

    Tafuta app inaitwa Snaptube....Hii haipatikani play store...Nenda kai search google utaipata...Hii itakuwezesha kudownload video website yoyote na social network yoyoye ile....
  13. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Bukoba, Kagera: Askofu Rwoma ataka mashoga wasitengwe bali wasaidiwe

    Ndo nani huyu uliyemtaja???
  14. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Rais wa Colombia ikitokea yakamkuta madhara atamlaumu nani?

    Rais anaitwa JSM..... Anasafiri kwa mfano lakini toka Kibo Complex Tegeta hiyo hadi Ferry .... Sometimes anapitiliza kuamka mapema... HAYA NDO NILIYOYAELEWA... NIMEJIONGEZA..
  15. Lugoba Investment

    JamiiForums Tanzania Trafic Tochi

    Sio kwa nyuma,zile machine zao zinapiga mpaka mbele na kama ulikuwa karibu zaidi hata dereva unaweza kujiona....Mie walishawahi kunipiga tochi nikajiona .....Ndo machine mpya hizo ndugu yangu
Back
Top Bottom