Tunauza vifaranga aina ya kuroiler

Vifaranga

Member
Nov 2, 2018
20
8
Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode island(tetea) mwenye sifa ya utagaji sana Wa mayai, Hivyo Kuroiler ni Kuku mwenye sofa zifuatazo, 1.ana umbo na uzito mkubwa kurithi kwa jogoo. 2.anataga sana mayai kurithi kwa tetea. 3.Anavumilia sana magonjwa hvyo anaweza akafungiwa ndani au akaachwa nje ajitafutie chakula. 4.anaweza kufugwa kama Kuku Wa Nyama kutokana kua na umbo na uzito sana kilo 3.3_5 kwa miez saba. 5.Anaweza kufugwa kama Kuku Wa mayai kutokana na utagaji wake mzuri mayai 250_280 kwa mwaka. 6.Anaweza kufugwa na mtu Wa aina yoyote kutokana na kula chakula cha aina yoyote hvyo anaweza kuachwa akajitafutia mwenyewe kama Kuku Wa kienyeji. Karibu ujipatie vifaranga Wa siku moja,wiki mbili,mwezi mmoja na miez miwili kwa bei nafuu kabisa, Tunapatikana Mbeya kwa mawasiliano piga sim no 0766974390
 
Offer,offer,offer,pata vifaranga aina ya Kuroiler kuanzia Wa siku moja,wiki moja,wiki mbili,mwezi mmoja na miezi miwili kwa being nzuri kabisa,fuga ufugaji wenye tija sasa,kwa mawasiliano sim no 0766974390
em andika VIZURI
upo mkoa Gani..na hao kuroiler N aiana gani ya vifaranga na wanasifa Gani?!
ila kama upo chooni malizia kwanza
 
Kama una swali kuhusu post ya mtu ni bora ukauliza,au kama huna cha kureply ni bora ukanyamaza kuliko kujibu unavyojisikia ww nidham nikitu cha msing sana in short zijapendezewa na comment yako,just ushaur tu
 
kama wewe ni mfanyabiashara bhas hapo ",UMEFAIL KWA KIWANGO KIKUBWA" Huna uvumilivu Wala subra kwa wateja.
kukujbu hivyo umepanik je ningekupigia ingekuaje?!
Anyway hata kununua nimeghairi
 
Sio kupanik huwez kuingia kwenye post ya mtu nakuanza kuongea maneno ya ajabu,kama umefail haina shida uwe na jumapili njema
 
sasa uliona lini tangazo lipo hivyo?
unatangaza biashara pasipo kuelezea ipoje???
siyo wote wanafahamu Haina ya hao vifaranga ni kitu cha kuelezea kwa mapana
embu pitia nyuzi za wajasiriamali wenzako jinsi wanavyotangaza biashara zao
kuna Uzi unaitwa ule wa mbwa ...wameelezea Kila kitu mtu hadi maswali unakosa.ya kuuliza
siyo wote ni wataalamu wa hao vifaranga kuna mwingine anaweza kuwa na mpango wa kufuga Kuku lakini hajuh njia Gani/aina Gani afuge
sasa endapo ungefafanua uoni kama hata Yule ambaye hajuh kitu angeelewa??
unatangaza biashara utadhani wote wanaijua????
"ni kama kusema natengeneza nondo zenye 12" pasipo kuzielezea faida zake au zipoje unadhani watu watanielewa wote???
kuna wengine wanatafuta material nzuri za ujenz bt kama nitaelezea 12" zipoje Bila Shaka watanielewa na kupata wateja...
humu mitandaoni wengi wavivu sasa wewe unasema sijuh vifaranga Gani pasipo kusema sifa zake au wapoje na hata ka picha kana kwamba wote wanawafahamu????
hebu jifunze tena jinsi ya Ku handle wateja na masoko ki ujumla.
SOKO LA USHINDANI HULIWEZI
unaambiwa ukweli unaanza Ku panic
thread ya biashara utadhani una comment kule MMU??!!!!
 
Hii ndio JF ya sasa, very very disappointing.

Mpwa Hongera Sana, Mungu akubariki saana
Mkuu ACHA KUMPOTOSHA MWENZAKO
kwa Dunia ya sasa ya USHINDANI hapo AMEFAIL kwa kiwango KIKUBWA sanaa
let's tu assume wewe ndiyo ungekuwa unatangaza biashara yako..je,ungetangaza kwa njia hiyo ya huyo "Mpwa"?? sasa hapo anatangaza biashara Gani pasipo kuelezea? je wote wanaelewa au wana uelewa kuhusu hao vifaranga?!?
lazima ungefafanua ki undani hapo angeweza kuvutia attention ya watu hata wale ambao hawakuwa na dhamira wangevutika
hebu kuna Uzi wa mwenzenu pitien mtajifunza mengi jinsi ya kutangaza biashara mitandaoni..
nadhani akiandika Kings Y. ni about "Wafanyabiashara wa mbwa wa kuuza" nadhani utanielewa kipi na maanisha.....sasa yeye analeta tangazo la biashara pasipo kutulia utadhani yupo chooni au kwenye boda boda..akae atulie aweke bandiko lake
tangazo la biashara utadhani ana comment MMU??!!!!
Na wewe una muunga mkono daah
 
Hahaha bahati mbaya Huwa sipendi arguments, nikushauri jambo! Kama lengo ni kumsaidia basi usingejibu kwa kebehi hivyo, yeye anajua Ufugaji. Wewe unajua kuandika, tunasaidiana Huyu wa vifaranga na Huyu wa Marketing, then kwa pamoja tunabebana and life goes on well.

Au unasemaje hapo? Tusaidiane, tushikane, hakuna anayejua kila kitu.
 
sasa uliona lini tangazo lipo hivyo?
unatangaza biashara pasipo kuelezea ipoje???
siyo wote wanafahamu Haina ya hao vifaranga ni kitu cha kuelezea kwa mapana
embu pitia nyuzi za wajasiriamali wenzako jinsi wanavyotangaza biashara zao
kuna Uzi unaitwa ule wa mbwa ...wameelezea Kila kitu mtu hadi maswali unakosa.ya kuuliza
siyo wote ni wataalamu wa hao vifaranga kuna mwingine anaweza kuwa na mpango wa kufuga Kuku lakini hajuh njia Gani/aina Gani afuge
sasa endapo ungefafanua uoni kama hata Yule ambaye hajuh kitu angeelewa??
unatangaza biashara utadhani wote wanaijua????
"ni kama kusema natengeneza nondo zenye 12" pasipo kuzielezea faida zake au zipoje unadhani watu watanielewa wote???
kuna wengine wanatafuta material nzuri za ujenz bt kama nitaelezea 12" zipoje Bila Shaka watanielewa na kupata wateja...
humu mitandaoni wengi wavivu sasa wewe unasema sijuh vifaranga Gani pasipo kusema sifa zake au wapoje na hata ka picha kana kwamba wote wanawafahamu????
hebu jifunze tena jinsi ya Ku handle wateja na masoko ki ujumla.
SOKO LA USHINDANI HULIWEZI
unaambiwa ukweli unaanza Ku panic
thread ya biashara utadhani una comment kule MMU??!!!!
Yaani ushaur wako ni mzuri sana ila maneno yako ulio andika mwanzo uliyaandika kama mtu una ugonvi nae that's y nikakushaur vile huwez kumwambia mtu kama upo choooni malizia kwana hizo sio kauli,kuna kauli za kumshaur mtu vizur ukaonekana mstaarabu ndugu yangu hats kama kitu unakijua
 
Hahaha bahati mbaya Huwa sipendi arguments, nikushauri jambo! Kama lengo ni kumsaidia basi usingejibu kwa kebehi hivyo, yeye anajua Ufugaji. Wewe unajua kuandika, tunasaidiana Huyu wa vifaranga na Huyu wa Marketing, then kwa pamoja tunabebana and life goes on well.

Au unasemaje hapo? Tusaidiane, tushikane, hakuna anayejua kila kitu.
Bora tu umenisaidia maana mm sijui lengo lake kwenye tangazo langu,kutokana na kauli zake,angenielekeza kiustaarabu mbona ningeshukuru sana kuliko malumbano hivi
 
Hahaha bahati mbaya Huwa sipendi arguments, nikushauri jambo! Kama lengo ni kumsaidia basi usingejibu kwa kebehi hivyo, yeye anajua Ufugaji. Wewe unajua kuandika, tunasaidiana Huyu wa vifaranga na Huyu wa Marketing, then kwa pamoja tunabebana and life goes on well.

Au unasemaje hapo? Tusaidiane, tushikane, hakuna anayejua kila kitu.
Upo sahihi na mwanzo nilimjibu ki masihara post ya kwanza kucoment nikashangaa ananileta povu...
mwambie "Mpwa" aongezee nyama kwenye bandiko lake
ataje
-location yake alipo na wapi anaweza kuleta hao vifaranga
-sifa za aina ya hao vifaranga&ubora na urahisi wake
-picha za vifaranga aweke
-gharama za uendeshaji hao vifaranga&faida
-mwisho aruhusu maswali watu waulize na aweke vionjo vikali.....etc wengine watajazia nyama
lengine APUNGUZE JAZBA...
coz atakutana na wateja tofauti tofauti awe humble coz ni mfanyabiashara sasa akitaka kupandiana na mteja atajikuta anagawa sadaka
 
Yaani ushaur wako ni mzuri sana ila maneno yako ulio andika mwanzo uliyaandika kama mtu una ugonvi nae that's y nikakushaur vile huwez kumwambia mtu kama upo choooni malizia kwana hizo sio kauli,kuna kauli za kumshaur mtu vizur ukaonekana mstaarabu ndugu yangu hats kama kitu unakijua

daah very sorry kwa kukukwaza mkuu.
lakini comment ya kwanza nilijibu hitimisho kwa jokes kumbe ulipanik
but tambua utakuwa mfanyabiashara mkubwa sanaaa...
hasira na paniki katika biashara hazifah wala kutakiwa ...
be humble kwa wateja usipende kubishana nao wengine tupo ki masihara zaid
daah SAMAHANI SANAA NDUGU
 
Upo sahihi na mwanzo nilimjibu ki masihara post ya kwanza kucoment nikashangaa ananileta povu...
mwambie "Mpwa" aongezee nyama kwenye bandiko lake
ataje
-location yake alipo na wapi anaweza kuleta hao vifaranga
-sifa za aina ya hao vifaranga&ubora na urahisi wake
-picha za vifaranga aweke
-gharama za uendeshaji hao vifaranga&faida
-mwisho aruhusu maswali watu waulize na aweke vionjo vikali.....etc wengine watajazia nyama
lengine APUNGUZE JAZBA...
coz atakutana na wateja tofauti tofauti awe humble coz ni mfanyabiashara sasa akitaka kupandiana na mteja atajikuta anagawa sadaka
Saafi kabisa, Great Man indeed, we are Brothers na kutofautiana ni jambo la kawaida kabisa, how we resolve our differences ndio Hasa kinacho matter!

Saafi kabisa, niwatakie Jumapili yenye Baraka tele. Asante Sana Great Man Asante Sana Bwana Vifaranga. Wote Tumeweka Kando mapungufu yetu, tunagonga Like na maisha Yanakwenda!
 
Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode island(tetea) mwenye sifa ya utagaji sana Wa mayai, Hivyo Kuroiler ni Kuku mwenye sofa zifuatazo, 1.ana umbo na uzito mkubwa kurithi kwa jogoo. 2.anataga sana mayai kurithi kwa tetea. 3.Anavumilia sana magonjwa hvyo anaweza akafungiwa ndani au akaachwa nje ajitafutie chakula. 4.anaweza kufugwa kama Kuku Wa Nyama kutokana kua na umbo na uzito sana kilo 3.3_5 kwa miez saba. 5.Anaweza kufugwa kama Kuku Wa mayai kutokana na utagaji wake mzuri mayai 250_280 kwa mwaka. 6.Anaweza kufugwa na mtu Wa aina yoyote kutokana na kula chakula cha aina yoyote hvyo anaweza kuachwa akajitafutia mwenyewe kama Kuku Wa kienyeji. Karibu ujipatie vifaranga Wa siku moja,wiki mbili,mwezi mmoja na miez miwili kwa bei nafuu kabisa, Tunapatikana Mbeya kwa mawasiliano piga sim no 0766974390
mkuu nahitaji kuku wa miezi 3 wawe miambili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom