Kwanini tulidanganywa Obama ni Mkenya?

Hivi wazungu ukoo unafuata kwa mama?Hali halisi ni kwamba ukoo unabebwa na baba na huo ndio undugu wa kudumu, hizo ni hadithi zisizokuwa na kichwa wala miguu, Obama ni mtu mweusi pamoja na kuunda unda uongo wao.Hivi inaingia akilini kuanza kujadili vizazi saba vilivyopita, halafu kama hawaoani hovyo hovyo ilikuwaje huyo mama obama akaolewa hovyo na mtu mweusi ambae sio blood line.Hivi obama akiwa mzungu au mweusi mkenya anatuongezea nini au kutupunguzia nini? Tujadili yatakayotuletea maendeleo hayo tuwachie wamarekani.
 
#DUNIAYAKO No.1
Tuliambiwa kijana anaitwa Obama, kijana mweusi kutoka Afrika Mashariki, Kenya. We! Utachekwa. Muulize aliyekuwa makamu wa raisi Dick Cheney atakuambia Obama ni nani, mbele ya macho ya wapiga kura watu hawa wawili aliyekuwa makamu wa rais Dick Cheney na raisi wa Marekani kwa tiketi ya Democratic, Barack Obama wanamitizamo tofauti yenye mawazo na nadharia zinazo pingana, lakini nyuma ya mapazia jamaa hawa ni ndugu wanashirikiana babu mmoja.

Mke wa Cheney alipokuwa anahojiwa na MSNBC alisema kuwa wakati anafanya utafiti wa kukusanya taarifa mbalimbali juu ya kitabu chake kipya anacho kiandaa kinachokwenda kwa jina la ‘Blue Skies, No Fences’ amegundua kuwa mume wake na kijana wa Democratic wanashirikiana babu wa vizazi nane vilivyopita. Anasema mwana mama huyo,

“Hii ni hadithi ya ajabu kwa wa-Marekani kwamba babu mmoja, mtu anayetokea Maryland anaweza kuwa ndiyo sababu wa mkondo wa familia ambayo imechukua njia tofauti kama familia ya Dick na Obama”.

Lakini mtu huyu mweusi Obama anayo undugu wa damu na mtu mweupe na mmoja wa viongozi mashuhuri kwenye serikali za Marekani.

Obama na Cheney wanauhusiano kupitia kwa Mareen na Duvall waliyehamia kutoka Ufaransa mnamo karne ya 17. Lakini kijana huyu anayetajwa kama mtu mweusi haishii hapo kwa Cheney peke yake, Obama ni ami (mtoto wa mjomba/shangazi) wa 11 wa rais aliye muachia kiti hicho, W. Bush, wanarithishana wapendavyo. Bush na Obama wanashirikiana ndugu walio ishi Massachusetts karne ya 17, mababu na bibi hao

wakubwa ni Samuel Hinckley na Sarah Soole, kwa hiyo kama ilivyo damu ya Bush na ya Obama nayo inarudi mpaka kwa Malkia wa Uingereza naye anaibeba mpaka kwa Firauni wa misri, naye anairudisha nyuma mpaka katika Babylon ya kale. Obama ni kijana mwingine aliyekuja kuipigisha hatua ajenda kubwa kuliko.

Tizama Hapo Bush na watu ambao anayo husiana nao kwa damu, imeitwa demokrasia lakini ukweli systeam ni ile ile ya kifalme, lazima uwe na damu hiyo ndiyo unakuwa rais, na siyo kura ndiyo inakuchagua.

Uchunguzi uliofanywa kwenye kitengo maalum cha kuchambua koo za familia na mahusiano yao kidamu kinachoitwa The New England Historic Genealogic Society kilikuja na hadithi ile ile pale kilipo zichunguza familia za waliokuwa wagombea watatu kwenye kinyang’anyiro cha kiti cha urais cha Marekani. Uchunguzi huo ulionesha kuwa Obama si kwamba ana undugu na Bush peke yake na aliyekuwa makamu wake wa rais lakini pia undugu wake unaungana na aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Winston Churchill.

Uchunguzi huo pia unamuonganisha aliyekuwa mgombea mwenza wa Obama, Hillary Clinton na muimbaji maarufu wa muziki wa pop Madonna ambaye naye kafanya kazi nzuri za kimasonia kwenye nyimbo zake nyingi. Wakati huo huo Obama na mcheza filamu maarufu wa Hollywood, Brad Pitt wanashea mjomba mmoja aliyekufa mwaka 1769. Brad Pitt naye anatumiwa vizuri na Freemason katika kazi zake mbalimbali za filam, wakati huo huo rafiki wa kike wa Pitt ambaye naye ni mcheza filamu Angelina Jolie anahusiana na mjomba wa tisa wa Hillary Clinton ambaye alifariki mwaka 1718.

Kila kitu kinafuata mtandao kama alivyosema mwana masonia mwingine Bill Gates, kama tulivyoona watu hawa hawaowani kiholela. John McCain yeye na aliyekuwa mke wa raisi aliyemaliza muda wake Laura Bush wanashea mjomba mmoja, mmjomba wa sita kwenye mkondo wa ukoo huo.

Mchunguzi wa familia hizi bwana Christopher Child, anasema kuwa Obama anauhusiano pia na walio kuwa marais wa Marekani kama George H. W Bush, Gerald Ford, Lyndon Johson, Harry Truman na aliyekuwa kamanda wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Marekani Robert Lee.

Hillary kwa upande wa mama yake yeye ni Mfaransa mwenye asili ya Canada, ambapo anaunganishwa na waimbaji wengine wawili Celine Dion na Aanis Morissette. Wakati Obama mama yake ni mtu mweupe kutoka Kansas.

Sipendi nikuchoshe sana mdau wetu tukutane post inayofuata, tuangalie nikweli oboma ni mkenya au tulidanganywa? #Duniayako

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, hii ni dugu moja bhanah!
Mayth ya ustadi kama vile asili ya binadamu ni nyani
Unasemaje kuhusuma Sarah Obama mama yake Obana na vipi kihusu dada yake
Screenshot_20181212-201824.jpeg
Screenshot_20181212-201915.jpeg
 
KWANINI TULIDANGANYWA OBAMA NI MKENYA.

#DUNIAYAKO No.2
Muandishi wa habari ambaye ni mchanguzi na mtafiti bwana Wayne Madsen kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya CIA ameweza kugundua uhusiano baina ya CIA na watu muhimu katika maisha ya Barack Obama na mama yake, baba yake, bibi yake na baba wake wa kambo.

Tukianza na 'baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’ kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi kutoka nchi za Afrika. September 12, mwaka 1960 Shirika la habari la Reuters kutoka London liliripoti kuwa mango unao itwa airlift ambapo fedha za Kennedy Foundation kwa ajili ya kuwasomesha watoto wa kiafrika Ulaya na Amerika si chochote bali ni mpango wa CIA kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuwaanda vijana wa baadae wa kiafrika watakao tumika kwenye mapambano ya kisiasa dhidi ya China na Umoja wa Kisovieti kuzuia ushawishi wa kikomunisti kulimeza bara la Afrika.

Kinara na kibaraka wa Marekani hapa Afrika Mashariki katika mpango huu wa Airlift alikuwa ni bwana Tom Mboya ambaye alikuwa ni kiongozi wa chama cha KANU. Mboya alimchagua Baba yake na Obama kuwa kwa ajili ya kupata scholarship katika chuo cha Hawaii nchini Marekani ambapo huko ndiko alipokutana na mzazi mwenzake kwa Obama Dunham.

Jina kubwa ndani ya Kenya mpaka Marekani. Tom Mboya.

Tom Mboya alipokea dola za Marekani 100,000 kama msaada kwa ajili ya Airlift kutoka kwenye Kennedy Foundation na hii ni baada ya kukataa kiasi kama hicho kutoka US State Department na hii ni kwasababu fedha hizo ambazo zingeonekana zinatoka moja kwa moja kwenye serikali ya Marekani zingewaamsha walio lala kuwa Mboya ni kabaraka na ajenti wa CIA nchini Kenya lakini hizi za Kennedy Foundation ni wachache wangejua kuwa ni fedha kutoka kwenye mfuko mwingine wa suruali moja.[9]

Mboya akiwa na Kennedy, alitumiwa vizuri wakati wa utawala huo kuhakikisha viongozi wa Afrika hawajiungi na ukomonisti, divide and rule kama kawaida.

Airlift iliyoandaliwa na kupangiliwa na Mboya mnamo mwaka 1959 ilijumuisha wanafunzi kutoka Kenya, Uganda,Tanganyika, Zanzibar, Northern Rhodesia, Southern Rhodesia na Nyasaland. Baba yake na Obama hakuwa ni miongoni mwa wanafunzi wa mwanzo kudhaminiwa na Kennedy Foundation kupitia mpango wa Airlift ila ni miongoni mwa waliofuata baada ya hapo.

Kazi ya Mboya na wenzake ni kuhakikisha kuwa wanafunzi, vijana na viongozi wengine wa kiserikali ni vyama vya siasa hawajiungi na siasa za mrengo wa kushoto, siasa za ukomunisti. Hivyo Mboya alikuwa ni mtu mhimu sana kwa CIA. Katika mkutano wa mara ya pili uliofahamika kama All-African People’s Conference (AAPC) uliofanyika Tunisia Mboya alitumika kama tochi ya kuwamulika viongozi wote waliohudhuria kuona misimamo yao ya kisiasa na ikiwa kama ni wafuasi wa siasa za mrengo wa kushoto.

Tom Mboya ndiye aliyemuonganisha mtu ambaye anatajwa kama baba yake Obama kwenye mtandao wa kuwaandaa vijana wa Afrika kufuata maono ya Magharibi.

Katika mkutano huo kwenye ripoti ya CIA inaeleza kuwa palitokea msuguano na kutokuelewana kukali baina ya waziri mkuu wa Ghana Kwame Nkurumah na Tom Mboya. Mkutano wa mwanzo pia wa AAPC inadai ripoti hiyo kuwa Tom Mboya aliifanya kazi yake vyema ya kuwamulika viongozi hao na kupeleka ripoti kwa wakubwa zake.

Ni katika mkutano wa kwanza Mboya ndipo alimchagua baba yake na Obama kwenda kupata scholarship kupitia Kennedy foundation kwenye kivuli cha Airlift. Hivyo baba yake na Obama alikuwa akiaandaliwa kuwa ajenti wa CIA kwa ajili ya kufanya kazi sawa na ya Mboya.

Nkurumah alikuja kupinduliwa mwaka 1966 kwa msaada wa CIA na vijana wake iliyo waandaa kupitia mpango wa Airlift hapana shaka vijana wa Tom Mboya nikimaanisha Obama Sr. walikuwa na mkono kwenye kazi hii. Mwaka mmoja baadae mapinduzi mengine yalifanyika Indonesia ya kumpindua Sukarno kwa msaada wa CIA. Je unamjua mmoja wa waliohusishwa na mapinduzi hayo? Ni Ann Dunham, mama yake na rais Obama.

Inasemekana Mboya aliuwawa mwaka 1969 na maajenti wa kichina ambao walikuwa wakishirikiana na serikali ya Kenya kuondoa ushawishi wa Marekani nchini humo. Baada ya kifo cha Mboya kila ubalozi jijini Nairobi ulipeperusha bendera yake nusu mlingoti ispokuwa ubalozi wa China. Ushawishi wa Mboya kwenye serikali ya Kenya uliendelea muda mrefu hata baada ya kifo chake na hasa muda ambao Obama Sr. akiwa hai.

Dunham mama yake na Obama aliacha masomo katika chuo kikuu cha Huwaii mnamo mwaka 1960 wakati akiwa ni mjamzito wa mimba ya Barack Obama. Baba yake an Obama aliondoka Huwaii mwaka 1962 na kwenda kusoma Havard. Dunaham na Baba wa Obama walitalikiana mwaka 1964. Mwishoni mwa mwaka 1961 Dunham alirejea masomoni katika Chuo cha Washington akiwa na mtoto mchanga aliyeitwa Barack Obama.

Mwaka 1963 mpaka mwaka 1966 Dunham alirudi tena katika chuo cha Hawaii. Mwaka 1965 Dunhama aliolewa na Lolo Soetoro ambaye akawa ni baba wa kambo kwa Obama. Soetoro aliondoka na kuelekea Indonesia mnamo July 20, mwaka 1965 kama miezi mitatu hivi kabla ya uasi uliosimamiwa na CIA dhidi ya Surkano kufanyika. Ni wazi kuwa Soetoro aliitwa Indonesia na CIA kwa ajili ya kusaidia uwasi huo dhidi ya Sukarno ambao uligharimu maisha ya watu milioni moja wa Indonosia.

(Kennedy, Ton mbuya, Barack Wote watatu vifo vyao vinasemwa kuwa na mkono wa mtu nyuma yake)

Fuatilia post hii ya Oboma utajua mengi uliyofichwa katika histoiria yake. Tutajitahidi kila Siku kutoa post moja.

Tukutane post ijayo

Maoni yako ni muhimu.
 
KWANINI TULIDANGANYWA OBAMA NI MKENYA.

#DUNIAYAKO No.2
Muandishi wa habari ambaye ni mchanguzi na mtafiti bwana Wayne Madsen kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya CIA ameweza kugundua uhusiano baina ya CIA na watu muhimu katika maisha ya Barack Obama na mama yake, baba yake, bibi yake na baba wake wa kambo.

Tukianza na 'baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’ kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi kutoka nchi za Afrika. September 12, mwaka 1960 Shirika la habari la Reuters kutoka London liliripoti kuwa mango unao itwa airlift ambapo fedha za Kennedy Foundation kwa ajili ya kuwasomesha watoto wa kiafrika Ulaya na Amerika si chochote bali ni mpango wa CIA kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuwaanda vijana wa baadae wa kiafrika watakao tumika kwenye mapambano ya kisiasa dhidi ya China na Umoja wa Kisovieti kuzuia ushawishi wa kikomunisti kulimeza bara la Afrika.

Kinara na kibaraka wa Marekani hapa Afrika Mashariki katika mpango huu wa Airlift alikuwa ni bwana Tom Mboya ambaye alikuwa ni kiongozi wa chama cha TANU. Mboya alimchagua Baba yake na Obama kuwa kwa ajili ya kupata scholarship katika chuo cha Hawaii nchini Marekani ambapo huko ndiko alipokutana na mzazi mwenzake kwa Obama Dunham.

Jina kubwa ndani ya Kenya mpaka Marekani. Tom Mboya.

Tom Mboya alipokea dola za Marekani 100,000 kama msaada kwa ajili ya Airlift kutoka kwenye Kennedy Foundation na hii ni baada ya kukataa kiasi kama hicho kutoka US State Department na hii ni kwasababu fedha hizo ambazo zingeonekana zinatoka moja kwa moja kwenye serikali ya Marekani zingewaamsha walio lala kuwa Mboya ni kabaraka na ajenti wa CIA nchini Kenya lakini hizi za Kennedy Foundation ni wachache wangejua kuwa ni fedha kutoka kwenye mfuko mwingine wa suruali moja.[9]

Mboya akiwa na Kennedy, alitumiwa vizuri wakati wa utawala huo kuhakikisha viongozi wa Afrika hawajiungi na ukomonisti, divide and rule kama kawaida.

Airlift iliyoandaliwa na kupangiliwa na Mboya mnamo mwaka 1959 ilijumuisha wanafunzi kutoka Kenya, Uganda,Tanganyika, Zanzibar, Northern Rhodesia, Southern Rhodesia na Nyasaland. Baba yake na Obama hakuwa ni miongoni mwa wanafunzi wa mwanzo kudhaminiwa na Kennedy Foundation kupitia mpango wa Airlift ila ni miongoni mwa waliofuata baada ya hapo.

Kazi ya Mboya na wenzake ni kuhakikisha kuwa wanafunzi, vijana na viongozi wengine wa kiserikali ni vyama vya siasa hawajiungi na siasa za mrengo wa kushoto, siasa za ukomunisti. Hivyo Mboya alikuwa ni mtu mhimu sana kwa CIA. Katika mkutano wa mara ya pili uliofahamika kama All-African People’s Conference (AAPC) uliofanyika Tunisia Mboya alitumika kama tochi ya kuwamulika viongozi wote waliohudhuria kuona misimamo yao ya kisiasa na ikiwa kama ni wafuasi wa siasa za mrengo wa kushoto.

Tom Mboya ndiye aliyemuonganisha mtu ambaye anatajwa kama baba yake Obama kwenye mtandao wa kuwaandaa vijana wa Afrika kufuata maono ya Magharibi.

Katika mkutano huo kwenye ripoti ya CIA inaeleza kuwa palitokea msuguano na kutokuelewana kukali baina ya waziri mkuu wa Ghana Kwame Nkurumah na Tom Mboya. Mkutano wa mwanzo pia wa AAPC inadai ripoti hiyo kuwa Tom Mboya aliifanya kazi yake vyema ya kuwamulika viongozi hao na kupeleka ripoti kwa wakubwa zake.

Ni katika mkutano wa kwanza Mboya ndipo alimchagua baba yake na Obama kwenda kupata scholarship kupitia Kennedy foundation kwenye kivuli cha Airlift. Hivyo baba yake na Obama alikuwa akiaandaliwa kuwa ajenti wa CIA kwa ajili ya kufanya kazi sawa na ya Mboya.

Nkurumah alikuja kupinduliwa mwaka 1966 kwa msaada wa CIA na vijana wake iliyo waandaa kupitia mpango wa Airlift hapana shaka vijana wa Tom Mboya nikimaanisha Obama Sr. walikuwa na mkono kwenye kazi hii. Mwaka mmoja baadae mapinduzi mengine yalifanyika Indonesia ya kumpindua Sukarno kwa msaada wa CIA. Je unamjua mmoja wa waliohusishwa na mapinduzi hayo? Ni Ann Dunham, mama yake na rais Obama.

Inasemekana Mboya aliuwawa mwaka 1969 na maajenti wa kichina ambao walikuwa wakishirikiana na serikali ya Kenya kuondoa ushawishi wa Marekani nchini humo. Baada ya kifo cha Mboya kila ubalozi jijini Nairobi ulipeperusha bendera yake nusu mlingoti ispokuwa ubalozi wa China. Ushawishi wa Mboya kwenye serikali ya Kenya uliendelea muda mrefu hata baada ya kifo chake na hasa muda ambao Obama Sr. akiwa hai.

Dunham mama yake na Obama aliacha masomo katika chuo kikuu cha Huwaii mnamo mwaka 1960 wakati akiwa ni mjamzito wa mimba ya Barack Obama. Baba yake an Obama aliondoka Huwaii mwaka 1962 na kwenda kusoma Havard. Dunaham na Baba wa Obama walitalikiana mwaka 1964. Mwishoni mwa mwaka 1961 Dunham alirejea masomoni katika Chuo cha Washington akiwa na mtoto mchanga aliyeitwa Barack Obama.

Mwaka 1963 mpaka mwaka 1966 Dunham alirudi tena katika chuo cha Hawaii. Mwaka 1965 Dunhama aliolewa na Lolo Soetoro ambaye akawa ni baba wa kambo kwa Obama. Soetoro aliondoka na kuelekea Indonesia mnamo July 20, mwaka 1965 kama miezi mitatu hivi kabla ya uasi uliosimamiwa na CIA dhidi ya Surkano kufanyika. Ni wazi kuwa Soetoro aliitwa Indonesia na CIA kwa ajili ya kusaidia uwasi huo dhidi ya Sukarno ambao uligharimu maisha ya watu milioni moja wa Indonosia.

(Kennedy, Ton mbuya, Barack Wote watatu vifo vyao vinasemwa kuwa na mkono wa mtu nyuma yake)

Fuatilia post hii ya Oboma utajua mengi uliyofichwa katika histoiria yake. Tutajitahidi kila Siku kutoa post moja.

Tukutane post ijayo

Maoni yako ni muhimu.
Uzi una makosa "salasini na sita". Rekebisha.
 
Tulidanganywa Obama ni mkenya ili siku Mmarekani akija kugombea Kenya wasishangae.

Huu ndiyo mpango wa wazungu kwa nchi za Africa.
Kuna wakati wanachoka kutumia vibaraka. Sasa ni muda wa kuwatumia watoto wao kuzitawala nchi zetu.
 
bandiko lenye mashiko likiingiliwa na neno INASEMEKANA.nahisi kama nadharia
 
Back
Top Bottom