Recent content by Lugano5

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Hatupendezwi kutuita Mawaziri ni wanafiki

    Huyu mama akafundishe huko, kwann alikimbia ualimu ?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako

    Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr. Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako. Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza katika kuwahudumia watu kwa vitendo, hongera sana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Sawa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Mwl.Ole Mushi-Afisa elimu hai na kada wa CCM ,Ni kweli alilishwa sumu Alilazwa kcmc hospital ,na Sasa kahamishiwa dar,! #CCM HOYEEEEEEEEEEEE
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Mbona Mimi Lugano5 hamnitaji? Hahahahahah
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Mada shinyanga main body singida, Acha uongo
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Tangu Maharage aepuliwe, Leo Umeme umekatika Mara 2 tu, hongera sana CEO mpya Umeañza vizuri Naamini kesho hautakatika.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye Nini simu yangu isiniandikie storage full?

    Mshana ebu kuwa wazi, Ubora unaozungumzia Ni wa YouTube au? Na hizo huduma za kiserikali,Ni huduma ipi ambayo 3G inagoma na 4G inakubali?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nifanye Nini simu yangu isiniandikie storage full?

    Mshana Salaam, Unakosa mengi kivipi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

    Kfuatia maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa ya kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma Zainab Mbunda na Mwekahazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much! Tunateseka Sana.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    NOTED
  14. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
Back
Top Bottom