L Lugano5 R I P Jul 15, 2010 4,520 755 Oct 29, 2023 #1 Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr. Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako. Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza katika kuwahudumia watu kwa vitendo, hongera sana.
Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr. Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako. Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza katika kuwahudumia watu kwa vitendo, hongera sana.
mbenge JF-Expert Member May 15, 2019 4,576 9,816 Oct 29, 2023 #2 Siyo anafanya maandalizi ya chaguzi za 2024 & 25 kwa kuanza kujipitisha pitisha kwa wananchi ili aonekane?
Siyo anafanya maandalizi ya chaguzi za 2024 & 25 kwa kuanza kujipitisha pitisha kwa wananchi ili aonekane?
jiwe angavu JF-Expert Member Aug 28, 2015 19,126 35,987 Oct 29, 2023 #3 Lugano5 said: Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr.Fadhili hongera Sana(vijana wajifunze kutoka kwako) Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza ktk kuwahudumia watu kwa vitendo,hongera Sana. Click to expand... Mkuu tuma picha tumfahamu na hizo shughuli zake.
Lugano5 said: Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr.Fadhili hongera Sana(vijana wajifunze kutoka kwako) Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza ktk kuwahudumia watu kwa vitendo,hongera Sana. Click to expand... Mkuu tuma picha tumfahamu na hizo shughuli zake.