Wabongo bana. Wakishika hela kila mmoja anaona ana hela.
Mimi mwenyewe natumia TECNO W3 inanifaa kwa matumizi yangu.
1. Hapo apakue phone cleaner zipo play store ili aweze kuclear junk files
2. Aingie apps angalie app zenye mb nyingi.
N.B
Mtu ana simu kubwa nzuri ila matumizi yake ni kuchat facebook, whatsapp, instagram, JF, Tiktok na youtube na huko kote anasoma umbeya (udaku), anaangalia movies, video za ngono na simulizi za kufikirika (Peniela). Hawezi kusoma au kuangalia video vitakavyokupa ujuzi wowote.
Sikupangii matumizi ila tuheshimiane.