Recent content by LuCKNOVICH

  1. LuCKNOVICH

    Binti Mnyarwanda au Mnyamwezi aniPM

    Aisee kati ya mabinti walio kwenye ndoto yangu ni wa asili ya kinyarwanda au wanyawezi,sijui kwa sababu nimekaa maeneo hayo nakuwaona,sijui
  2. LuCKNOVICH

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    binafsi sipendi tabia za wanawake kujali pesa kuliko mapenzi,unakuta mwanamke anakubebesha shida zote utafikiri wewe ndo umemuumba,hakupi mawazo ya kutafuta bali ni kutumia tu,bora kutafuta shugar mamy tu
  3. LuCKNOVICH

    Tabia hizi za kinadada sizipendi, bora nisiwe na msichana

    Mara baada ya kumtongoza tu alifungua gunia la shida utafikiria mimi ndo nilimtwika. Hata mzigo sija gonga. Mara nimeipenda T-shirt yako naiomba, mara sijala tangia jana, mara ninashida na elfu 50.Ananipigia simu na sms zote ni shida tu. Ndugu zangu kwa ambae amekumbana na sakata la namna hii...
  4. LuCKNOVICH

    Shule nzuri kilimanjaro region

    Asanteni wakuu nimepata pa kuanzia
  5. LuCKNOVICH

    Shule nzuri kilimanjaro region

    Asanteni kwa contributions.nazidi pokea mawazo
  6. LuCKNOVICH

    Shule nzuri kilimanjaro region

    Habari wana jamii.naomba msaada kwa anayeweza kurecomend shule nzur kwa boarding fm 1 na darasa la kwanza.wote wamesoma english medium primary na nursery.Natanguliza shukurani
  7. LuCKNOVICH

    Je wataka kujua?

    hiyo nimeipenda
  8. LuCKNOVICH

    Makampuni haya hayako serious TBL,SBL,BONITE

    Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi. Swali ni jukumu la nani kutoa hivyo vitu nini terms and conditions.TBL=Tanzanai Breweries...
  9. LuCKNOVICH

    Mvua ndani ya kanda ya Kaskazini,Hasa niliyoishudia ndani Jiji la Arusha!

    Mkuu nimetoka moshi mjini mvua si nyingi,lakini kuanzia maili sita,machame,boma inaonyesha imenyesha usiku
  10. LuCKNOVICH

    Hivi Rizmoko ana umri gani?

    Ni Rizmoko kaka yake Mwanaasha,baba yao Vasco Da Gama, majibu tafadhari
  11. LuCKNOVICH

    Hivi Rizmoko ana umri gani?

    Wana jamvi, Nimekuwa namsikia huyu kijana lakini sijajua cv yake,je mwenye details zake aweke hapa,age wise,educational background nasikia anapesa kuliko age yake. Naweka mezani wakatabahu mwananchi
  12. LuCKNOVICH

    Novel writer gani ni best kwako?

    mkuu umenikumbusha hiyo mafia story,nimeisoma kama mara tatu,na niko na dvd yake,'The God Father' ni kiboko,personally i like all sort of crime and didective novels na stories,kwa sasa nasoma'safer dead' ya James H Chase
  13. LuCKNOVICH

    Novel writer gani ni best kwako?

    Nimesoma za Catherine Marshall,Robin Cook,James H Chase,Nicholaus Evans,Agatha Christie,John Grisham,Daniel Steel
  14. LuCKNOVICH

    Novel writer gani ni best kwako?

    nilisoma 'the time to kill,the rain maker,street lawyer,the pelican brief,i like John Grisham
Back
Top Bottom