EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,119
a mdogo kabisa niliwahi kusoma novel za mtu mmoja marehemu kwa sasa alikuwa anaitwa Elvis Musiba na baadae Ben Mtobwa wakiwa na characters wao waliowapa mija ya Willy Gamba na Joram Kiango. Mnawakumbuka hawa?
Baadae nikahamia kwenye yale makubwa na my favorite hapo alikuwa Sidney Sheldon ambaye nimesoma novel zake zoooote kuanzia "The naked face" mpaka ya mwisho "Are you afraid of the dark" aliyoitoa kabla hajafariki dunia. Katika zote my favourite ni "If tomorrow comes"
What was yours?