Makampuni haya hayako serious TBL,SBL,BONITE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni haya hayako serious TBL,SBL,BONITE

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LuCKNOVICH, Apr 26, 2012.

 1. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi.
  Swali ni jukumu la nani kutoa hivyo vitu nini terms and conditions.TBL=Tanzanai Breweries Ltd,SBL=Serengeti 8reweries Ltd.
   
 2. M

  Marketer JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mdau wala wasikuibie mchana kweupe, nenda ofisini kwao muulizie supervisor wa eneo atakupa, tena ni bure, ila utimize vigezo wanavoitaji kuwa na mauzo makubwa,
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  SBL ndio kampuni ya nini? Au Umechanganya na SBS(Pepsi,mirinda,7up)?
   
 4. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  SBL-labda alimaanisha Serengeti Breweries Ltd au ...
   
Loading...