Recent content by Lucas Kashi

  1. Lucas Kashi

    Makonda kubadili jeshi la polisi kwenda kisasa katika kukabiliana na uhalifu

    Roho za kwa nini zitawamaliza. Ongeeni sana juu ya mtoto wa mwanadamu mwenzenu kwa hayo mabaya. Tambua maliopo ni hapa hapa duniani. Ongeeni domo jumba la maneno.
  2. Lucas Kashi

    Zitto ni msaliti wa watanzania asiye na uchungu na nchi hii zaidi ya tumbo lake

    Tatizo siasa zimetujaaa kwa mambo hata yale ya maslahi kwa taifa tubadilike.
  3. Lucas Kashi

    Kuelekea ng'ambo ya pili: Dereva amekiri kukata tamaa, akina nani bado wana hamu ya safari?

    Mada hii haijabalance naona umezungumzia mabaya au umemponda dereva kwa vjimambo. Mbona hujaonyesha uzuri wake japo hata kwa uchache? Huyu dereva nina imani nae mimi kama mwananchi maskini siwezi ficha hisia zangu kwa kweli nina imani nae sana tena sana. Tutalalamika huyu dereva ana mwendo...
  4. Lucas Kashi

    CHADEMA na washirika wenu jiandaeni kukabidhiwa nchi 2020

    Kweli bora tuchukue sisi wapiga dili aiseeee hatukubali kabisa. Yani mambo yetu hayaendi kabisa. Huyu jamaaa amefukuza miladi yetu ya wafanyakazi hewa hapana hatutaki 2020 bora tumpe Lowassa tu.
  5. Lucas Kashi

    Nilikupigania, nilikupenda, nikakuchagua na kukutetea ila sasa nimekuchukia zaidi ya Shetani!

    Mtandao huu umeegemea pande moja tu. Hata wewe mtoa Mada una mapungufu makubwa. Basi ww ni mtakatifu au siyo haya bwana endelea tu.
  6. Lucas Kashi

    Hongera waziri Makamba ila viongozi wetu ongezeni ubunifu

    Majanga tu hao viongozi walishazoea kufanya upuuzi wananchi wengi tumeumia sana Ngoja utawala huu uwanyoosheee
  7. Lucas Kashi

    Makampuni ya kimataifa yafikiria kuondoa uwekezaji wake Tanzania kutokana na kodi kuwa juu

    Yaondoke tu hayana maana zaidi yakutaka kutunyonya kwendeni
  8. Lucas Kashi

    Clouds TV, huyu Ngoma ni kimeo

    Ha ha haaaa mimi yangu mate maji na damu wacha movieeee indeleee
  9. Lucas Kashi

    Kile kipindi ambacho nilipotea

    Upuuuzi mtupu
  10. Lucas Kashi

    Msaada wa SMS kujirudia Mara kwa Mara kwenye Smartphone

    Fanya kuirestoo hiyo simu ndugu hilo tatizo litakwisha
  11. Lucas Kashi

    Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

    Walimsapoti kwa wizi wake na mikataba mibovu aliyokuwa anasainiana nao Ndiyo maana walimpenda. Ukiona marekani wanakupenda ujue kwako wamepaoma shamba la bibi
  12. Lucas Kashi

    Hali ya uchumi wa nchi imeimarika sana

    Umeongea kweli dada achana na wale kila kitu kupinga.
Back
Top Bottom