Hali ya uchumi wa nchi imeimarika sana

Hali ya uchumi wa nchi imeimarika sana

Wandugu,

Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.

Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.

Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.

Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.

Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.

Nawakilisha

Naomba utunukiwe shahada ya uchumi na Harvard University kwa uchambuzi wako murua.
 
Huku mitaani "flemu" zinazidi kufungwa!

d6aa98f445fbabf863146c7edb259349FS.png
 
Haya dada naona unatumia vizuri uhuru wa kuongea na kuandika chochote ili mradi uvunji sheria.
 
Wee uwe unabaki tuu kule Mmu na Chit-Chat huku waachie watu wenye akili zao.
Umedangisha mpapa ukahongwa elfu hamsini unakuja spidi huku kusema uchumi umeimarika.

Ukweli uchumi unakua lakini tatizo ni kusambaza yale mafanikio kwa watu wengi .
 
Sasa tuelewe vp huo uchumi umeimarika au umesimama?
 
Kuna matatizo yanasababishwa na JPM kubadili 'mifumo' ya watangulizi wake na yanatuathiri kwa maana kontena zisizolipiwa ushuru, wakwepa kodi, mishahara hewa na madili machafu ya mashirika pesa zake sote tulikuwa tunazikuta mtaani na zilikuwa zinatusaidia. Japo swali lisilopingika ni hili ...."ni kwa muda gani mtu ataishi kwa kutegemea pesa haramu?".
Lakini pamoja na kudhibiti pesa haramu mengine pia anatusababishaia matatizo hasa kwenye watendaji uchwara wanaoongozwa na mizuka huku wakiwa na upeo mdogo wa kuchanganua mambo.

La muhimu,
let us think globally and act locally. Uchumi haujadorora hapa kwetu tu bali ni maeneo tofauti. Nimesoma hii habari ya NAKUMATT na inatoa picha halisi kuwa sio sisi tu!

Cash-strapped Nakumatt seeks financial rescue

Cash-strapped Nakumatt seeks financial rescue
Like any other business operating in this market, Nakumatt Holdings has faced a number of unforeseen business challenges
Thursday October 27 2016
market001+pix.jpg

Empty stalls at several Nakumatt outlets around have sparked speculation over the future of the largest supermarket chain in Uganda. File photo

In Summary
  • Nakumatt reveals that it is engaging financiers to provide bridge financing options for the company to stay afloat.
  • Last year, Uchumi another Kenya-based supermarket closed its operations in Uganda, plunging unpaid suppliers into loss and protracted talks.

By MARK KEITH MUHUMUZA
KAMPALA. Empty stalls at several Nakumatt outlets around have sparked speculation over the future of the largest supermarket chain in Uganda. Several suppliers have stopped placing products on the shelves of Nakumatt at least until payments are made for previous supplies. In a Thursday statement, Nakumatt Holdings, the holding company that owns the supermarket chains in Kenya, Uganda, Tanzania and Rwanda admitted that it was in the red and was seeking a rescue.

“Like any other business operating in this market, Nakumatt Holdings has faced a number of unforeseen business challenges. These challenges range from a depressed economy, higher operating costs and extraneous factors including risk management due to prevailing security threats, among others,” the statement signed by Managing Director Atul Shah reads in part.
Wewe huogopi kutumbuliwa? Wenyewe wenye kuimiliki awamu ya 5 wanasema uchumi unakuwa kwa mwendokasi, wewe unasema umedorora. Vipi wewe?

Sasa usituchanganye, tuambie bila kumumunya maneno. uchumi umedorora au unakua kwa mwendokasi?
Wewe unaelewa kwamba Tanzania ina viwanda zaidi ya 52,000?
Na kwamba Mapato yanayokusanywa na TRA yanaongezeka marudufu ingawaje mizigo bandarini imepungua kiasi waziri amewashauri wenye magari ya mizigo wayapeleke gereji kupaka vilainishi(grease) na baadae wayaegeshe( waya-park)?

Udororaji wa uchumi kama tetemeko la ardhi halijaletwa na serikali. Ni wananchi wamezidi uvivu na wanasubiri serikali iwajengee viwanda badala ya kuanza kujitetemmesha na kujitafutia maendeleo.
Sasa tuelewe vp huo uchumi umeimarika au umesimama?
 
Wandugu,

Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.

Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.

Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.

Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.

Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.

Nawakilisha
Wandugu,

Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.

Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.

Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.

Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.

Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.

Nawakilisha
Povu linakutoka mtoto wa kike. Elezea basi kitaalam
 
Naweza kukubaliana na wewe kiasi. Lakini masala ya uchumi hula hayaangaliwi kijuu juu na kirahisi hivyo. Kukusanya kodi na kusimamia sheria na hata utendaji wa idara mbalimbali za kiserikali na nyingine zinazofanya kazi kwa niaba ya serikali. Kwa hili naona serikali inajitahidi sana, na inastahili kupongezwa. Lakini kutoa huduma sidhani kama ni kazi ya serikali. Serikali yetu haina ujuzi huo, hii inafaa wapewe sekta binafsi.

Anayesema uchumi umeshuka atwambie kivipi na atuonyeshe ushahidi tuujadili.
Serikali ya Magufuli imejitahidi sana kuondoa ujinga na ubabaishaji kwenye utendaji, for once let us be appréciative . Tumezoea kuibiwa, lakini sasa kuna serikali inayoonekana kujali, tuendelee kuipa muda.
 
Back
Top Bottom