Jamaa aliyeleta huu uzi angeweka barriers ya kutoruhusu wanawake kuchangia huu uzi. Wewe unajiita malkia wa nguvu unashauri hivi kweli. Hebu vaa uhusika chukulia kama huyu angekua mdogo wako wa kiume au kaka yako anayetegemewa nyumbani au angekua ni mtoto wako wa kiume. Acheni mawazo kufikiria...
John asifananishe kusoma na vitu vya kijinga hapo aangalie tuu mtoto ataishije.
Ukiambiwa kuna jinsia zilinyimwa akili unakataa. Hawezi kuishi bila kugongana kwani john ikitokea akaenda jela miaka 3 huo mwanamke ataenda wapi atakua analiwa sio?
Sasa kama huwezi kufanya hivo unakuja hapa kutuambia sisi ambao tutanunua ili tufanyaje? Tusinunue? Endeleeni kuwa watumwa wa western na hayo ma iphone. Watu wanatumia muda kuwakilisha kitu kipya wewe unasema hamna kitu. Mtanzania ana akili kuliko mkorea wee ulisikia wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.