Recent content by lost account

  1. L

    JamiiForums Tanzania Fani gani itakuwa na soko 2o21?

    hongera sana dogo, nakushauri uchukue science, then PCM uki-aim chuo kuja kusoma mambo ya artificial intelligence and embedded technology, kwa uchache sana elimu hii inatolewa mavyuoni kwa sasa, makampuni mengi bado yameishikilia teknolojia bila kuiachia, by then market yake itakuwa kubwa sana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mhe,,mbowe... Bungeni live bila chenga ,,mjengoni dodoma;

    Mbowe kaonyesha busara za hari ya juu, nashangaa kaja ngeleja karudia yale yale, nahisi ningekuwa humo ndani uvumilivu ungenishinda.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: June 19, 2012

    labda jamaa anamaanisha elimu ya lukuvi magumashi ndio maana hawezi msoma mnyika
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: June 19, 2012

    ushabiki mbaya sana, naibu spika anajifanya hajasikia pumba za lusinde anamuomba arudie tena alichokisema as if alikuwa anaongea mambo ya maana kumbe ni mipasho tu, Kafulila alivyokuwa anaongea uzalendo naibu spika akamwambia anatoka nje ya mada, lusinde kaongea pumba tupu, naibu spika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanasiasa: Kwanini tunauziwa viwanja bei ghali 2-8mil kwa bei ya serkali?

    Hawa jamaa wa gezaulole sijui watatoa muda gani wamalizwe kulipwa, maana unaweza ambiwa ulipe in two months or wanyang'any'wa kiwanja.
  6. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    Mhh....ngumu ngumu kuyaamini yote kama yalivyo..yani huyu Bilal mzee wa utalii wa ndani ndio awe raisi wa muda? Bado haiji akilini...
  7. L

    JamiiForums Tanzania What are your favorite philosophical and political Quotes?

    "I decided long ago never to walk in anybody's shadow, if I fail, if I succed atleast I do what I believe" "No matter what they take away from me, they cannot take away my dignity" By late Whitney Houston.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanganyika. Licha ya Kusaidia Mapinduzi, Iliiongoza Zanzibar Hata kabla ya Muungano

    mwaka huu ntayasoma mengi, historia sasa inaanza niingia kichwani!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Congrats to January Makamba for Acting as an Executive Online!

    heshima yako mkubwa, hapo umeboronga sana, kwa mtazamo huo hata ada sasa zianze kulipwa kwa mwezi. Watu wanajenga nyumba kama vitega uchumi ndugu, ukiangalia gharama za ujenzi zipo juu balaa, suala hilo la kodi ya mwezi halitawezekana labda serikali ijenge nyumba za kutosha, ipangishe kwa mwezi!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mpanga ubaya mwisho humuumbua Polisi wa Zanzibar

    mambo yale yale ya Mungiki!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hili la katibu wa bunge kashililah likoje?

    duuh...kumbe huyu jamaa anawashadadiaga wenzake ila na yeye yumo!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Visa ya Singapore

  13. L

    JamiiForums Tanzania Congrats to January Makamba for Acting as an Executive Online!

    J.Makamba, ni mpenda sifa kupitia mitandao, jamaa ni kilaza mbaya, atakuja angushwa kama Masha tu! Haiwezekani mtu na akili zako zote utoe hoja binafsi bungeni eti wananchi wanateseka lipia kodi za nyumba kwa mwaka or miezi 6! Nlimshangaa sana jamaa, yani gharama za ujenzi zilivyo juu leo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

    El Toro, ungebadilisha title ya post yako, hata ianze kwa kusomeka, "utabiri watimia..." nna mashaka sana na Uteuzi huu wa maDC.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

    duuh....kweli Tanzania ni nchi ya kusadikika!
Back
Top Bottom