Congrats to January Makamba for Acting as an Executive Online!

Congrats to January Makamba for Acting as an Executive Online!

J makamba katika swala zima la mtandao amejimix vizuri sana ... na pia bumbuli anapendwa sana anafanya vitu viakaonekana kajitahidi kufikisha umeme kule ... congrats muheshimiwa ...

lakini mbona JF umeikimbia....
 
J.Makamba, ni mpenda sifa kupitia mitandao, jamaa ni kilaza mbaya, atakuja angushwa kama Masha tu! Haiwezekani mtu na akili zako zote utoe hoja binafsi bungeni eti wananchi wanateseka lipia kodi za nyumba kwa mwaka or miezi 6! Nlimshangaa sana jamaa, yani gharama za ujenzi zilivyo juu leo umwambia mmiliki wa nyumba apangishe kwa mwezi mwezi! Atleast angekuja kuliambia bunge NHC iwezeshwe ijenge watu wapange! Naomba M4C itinge bumbuli!
Mkuu wangu hapa umekosea kabisa na swala hili la upangishaji nyuma kwa kodi ya miezi 6 au mwaka sio tu linamkera January bali hata viongozi wa Upinzani. Dunia ya leo ni dunia ya soko ambayo kila siku inategemea na mahitaji hivyo sheria ya kumlazimisha mtu akae ndani ya nyumba yako kwa mwaka mmoja umeshakamata fedha zake ni kinyume kabisa cha soko. Hata kaa demand ni kubwa kiasi gani lakini siku zote biashara humpa nafasi kubwa mteja kuwa mchaguzi na sii mwenye mali kuwa na kivuri cha kuendesha biashara. ndio maana Tanzania ukienda dukani mteja ni mhitaji unaweza fukuzwa na mwenye duka, ukienda Hotelini unaomba uhudumiwe chakula. Fikra hizi ni chafu na zimeboreshwa na umaskini wa kushindwa kujitosheleza ktk mahitaji. Na hata ktk swala hili January anachozungumzia ni jinsi gani Mpesa imeweza kutumika kutokana na wananchi wengi kutokuwa na account zao benk kwa maana kwamba wananchi hawahifadhi fedha zao benki ama hakuna mahusiano mazuri baina ya benki na wananchi. Kiuchumi hili ni tatizo kubwa wala msilifikirie mzaha..
 
Exceptional is a relative term, and calling a grown man a boy is insulting.I give you a pass due to your self explanatory moniker.
 
Sijaelewa tunatakiwa kuchangia nini kwenye hii thread? What is there to discuss?

Dah!!! Afadhali nimeikuta hii post yako hapa.
Ngoja nitambae zangu nikasome 'the just are no more'
 
Hahaha! I hope mgosi hujaamua kujipaisha! I once wrote to u abt an issue ya wapiga kura wako na haukubother hata kunijibu. Worry out, u lost a few votes in there.

Not few......i did the same in twiter but this self made glorifying son of know who did not respond.
 
Siasa za kwenye media hazijawahi kumsaidia yeyote, sio kikwete after 2005 election wala rafiki yake Lowasa akiwa waziri mkuu akitembea na a minimum of 5 journalists kwenye magari ya serikali.

It will neither help you 'boy' as english learner called you.
 
Kiukweli miongoni mwa viongozi hasa vijana, wanaojua nini cha kupost kwenye mitandao (tofauti na JF) orodha yangu haiwezi kumuacha January Makamba. Sijapata kusoma mipasho au ngonjela kwenye post zake FB au Twitter.
 
I feel sorry for January if he is following the comments on this thread. My intention to bring this thread was to appreciate your social media communication manner. But it has turned to lining you on the target for abuses and insults. I encourage you not to despare based on these comments. If there some personal weekness as they comment, take them positively and make necessary behaviourial change. But I find most being not the reflection of your character.

Now I have some tips why politician are running away from JF.

JF members, in the name of Jesus I tell you, I am not January, January neither knows me and I gain nothing out of this accolade. Lets try to avoid prejudices

Siasa za kwenye media hazijawahi kumsaidia yeyote, sio kikwete after 2005 election wala rafiki yake Lowasa akiwa waziri mkuu akitembea na a minimum of 5 journalists kwenye magari ya serikali.

It will neither help you 'boy' as english learner called you.
 
heshima yako mkubwa, hapo umeboronga sana, kwa mtazamo huo hata ada sasa zianze kulipwa kwa mwezi. Watu wanajenga nyumba kama vitega uchumi ndugu, ukiangalia gharama za ujenzi zipo juu balaa, suala hilo la kodi ya mwezi halitawezekana labda serikali ijenge nyumba za kutosha, ipangishe kwa mwezi!
Mkuu wangu hapa umekosea kabisa na swala hili la upangishaji nyuma kwa kodi ya miezi 6 au mwaka sio tu linamkera January bali hata viongozi wa Upinzani. Dunia ya leo ni dunia ya soko ambayo kila siku inategemea na mahitaji hivyo sheria ya kumlazimisha mtu akae ndani ya nyumba yako kwa mwaka mmoja umeshakamata fedha zake ni kinyume kabisa cha soko. Hata kaa demand ni kubwa kiasi gani lakini siku zote biashara humpa nafasi kubwa mteja kuwa mchaguzi na sii mwenye mali kuwa na kivuri ch
 
Back
Top Bottom