Recent content by Losomich

  1. Losomich

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    Kweli!!!
  2. Losomich

    Wapiga kura Monduli wanalia,wanashangaa harambee kwa mamilioni za mbunge wao

    Hayo yaliyosemwa ni ya kweli kabisa, Monduli hakuna maendeleo, maji ni ya shida sana, ndoo 1 ya maji wakati wa kiangazi huuzwa sh. 5000.
  3. Losomich

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    Unakimbilia huku jukwaani kupiga majungu wakati, ulipaswa kwenda TRA kuwatonya tusikie kwenye vyombo vya habari. Na hilo lingewazaidia wewe na mtandao wenu kwa ujumla kutoka. "Akili ni mali" kama si "nywele kila mtu ana zake"
  4. Losomich

    CCM haina ubavu wa KUWAFUKUZA DIWANI, MBUNGE, KITONGOJI au hata FISADI yeyote

    TUKIWAFUKUZA MAFISADI INCHI ITAYUMBA. By PM-Mizengwe Pinda!
  5. Losomich

    CCM haina ubavu wa KUWAFUKUZA DIWANI, MBUNGE, KITONGOJI au hata FISADI yeyote

    TUKIWAFUKUZA MAFISADI INCHI ITAYUMBA. By PM-Mizengwe Pinda!
  6. Losomich

    Waziri Nchimbi anapothibitisha madai ya Mbunge Lema, sasa ni wazi nchi yetu inaelekea kubaya sana.

    Hivi mpaka leo Babu Seya hajatoka tu gerezani, pamoja na kelele zote hizi? Alafu tuaminishwa kwamba tunaserikali sikivu! Mungu saidia waja wako.
  7. Losomich

    Habibu Mchange njiapanda

    Kwani wewe uliwahi kuwa CDM ukanyimwa freedom of expression?
  8. Losomich

    Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

    Tuko pamoja Mkuu.
  9. Losomich

    Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

    Ndugu katika maelezo yake last week JJ alisema F4 alipata A9 na kila A ina present point 1. Na huwa points 7 ndizo zinazochukuliwa, kwa hiyo JJ alipata Dv I points 7. (Msaada tu nimetoa)
  10. Losomich

    Nape amfunika Kinana

    Ha, Nape bana utadhani mwana wa haramu vile.
  11. Losomich

    Sumaye amkaanga JK

    Sumaye alimpeleka mtoto wake Maricani kusoma baada ya kuona mafisadi wenzake wote wamewapeleka watoto wao nje kusoma kwa hele za kifisadi.
  12. Losomich

    Sumaye amkaanga JK

    Huyu baba ni manafiki sana, anamaanisha kwamba angeshinda CCM kusingekuwa na ufisadi siyo? Shame on his face.
  13. Losomich

    Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

    Ni mbunge wa Arusha mjini, kama unabisha basi wewe sema mbunge wa Arusha mjini ni nani mwingine zaidi yake.
  14. Losomich

    Uchaguzi Mkuu CCM:: MAAMUZI YA NEC:: Wenye kupitishwa wapitishwa, wengine watupwa

    Ndugu si Vyema kutumia neno la Mungu, kwa kejeli! Lets politics run on the lines of politics and lets the words of God run on the line of God's words. (‘‘Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda.)
Back
Top Bottom