dereva ni Kikwete, konda ni Kinana, mpiga debe ni teja NAPE linabaki hapo hapo kituoni lina move from one dala dala to the next mara CCJ mara CCMmmoja dereva(Kinana) mwingine kondakta aka mpiga debe (Nape).........kazi ya kuita abiria sio ya dereva
hata mukama alikuwa dereva mzuri akiongozwa na huyu mpiga debe