Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009
Barua ina time stamp ya 06 (2006)
Ha ha ha ha a
Vijana wa IT masaki wamechemka hapa.. /06 badala /16mbona tarehe ya chini ni 6/3/06???? kwan tupo mwaka gani huu??
Wakihamua =WakiamuaMaji yameshamwagika. Wananchi wa nchi hii wamshajua ukweli hatakama wakihamua kuficha is too late. Inabidi January hakubali kulikuwa na deal kwani kwenye marecord kunaonyesha dalili zote za rushwa. Fanya jambo la burasara kwa watanzania waliokupigia kura na kwa manufaa ya taifa . JANUARY HACHIA NGAZI KWANI SITHANI TUTAKUMISS SANA.
Nadhani hii kesi imeshafungwa!Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Ila kwelii tuanze kuchunguzaaa yaani ameombaa msamaha kabla uzushi haujaanzaa..Picha bado.saaana utamuuu koleaaaaaaHiyo tarehe kwenye hiyo barua hapo chini ina utata? 06/03/06!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli!!!waswahili wabaya sana, wao hawana jema, sasa leo mzungu kawaumbua, wale waliokuwa mishipa imewatoka wapo wapi sasa?.
muogopeni mungu. January Fanya kazi, achana na wajanja wajanja hawa.
Haaaaa haaaaa haaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! nimecheka sana sjui lema huwa anatapa wap maneno ya vichekesho utadhani mkwerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeee
kwanini sasa usiweke ushuhuda wako?...KAMA MLIMPOKEA LOWASSA, mtashindwa kuwasema zitto na makamba?...
fisadi lowasa ana sifa ya kuwa kiongozi?Haya mengine anapoteza muda tu.1+1=2.Hakuna sababu ya kutetea upuuzi wakati alishakiri kupokea pesa.Makamba jiondoe tu.Sifa ya kuwa kiongozi huna.
Tayari kuna madoa kwao hawa ndugu.Makamba alikiri
Na mwamvita alikiri sasa HIKI NINI?