Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

Mkutano wa CHADEMA kata ya Goba

Mdogo wake na Bashe yupo CDM, yeye hawezi kuwa kwenye chama cha magamba, na anamshangaa kaka yake kwa kutumia kama Condom na Magamba

CDM mwangalieni kwa jicho la karibu mdogo wa Bashe!
 
nape jitu patel.....habari...cv.div 4 point 29.....mnyika...dv 1. point 9.

Kwa hiyo kunatofauti ya pointi 20? Hongera bint Jeetu Patel maana kama ingekuwa ni points za kwenye mchezo wa mpira wewe uko juu!
 
Kama hautatupia ma Picha huku utakuwa umetukatili sana Mkuu
 
Mkuu Mwasipu!

Heshima kwako.

Prof. Maghembe itabidi arudi "MWEVO". Najua mtaniuliza na sitawapa jibu (mtanisamehe wana jamvi). Nawapa assignment mdadavue kwamba ni wapi na huwa watu wanaenda kufanya nini???! Ndiyo mbinu zilizo bakia kwa MAGAMBA.
Napasoma mkuu wangu, huwa zinatolewa ng'ombe 20 kila mwaka kama Sadaka
 
Mkuu kumbe na huku huwa unakuja?

Mi mwenzio nilifikri labda huwa unaonekana tu kule kwenye lile jukwaa jingine?!!

Lol!!!

mi mwanasiasa mzuri tu, 2015 nagombea ubunge nahitaji kura yako tafadhali....
 
mi mwanasiasa mzuri tu, 2015 nagombea ubunge nahitaji kura yako tafadhali....
Mkuu unatisha!!

Kama na siasa unaweza basi uko juu, maana kwenye lile jukwaa letu huwa unatoa burdani za uhakika na mwenzio Madame B!! Kama ni kura tu mkuu utapata na nitakuunga mkono kwa kila hali, mradi tu usiwe kile chama cha kupukutisha magamba yasiyopukutika!! Keep it up Mkuu!!
 
nape jitu patel.....habari...cv.div 4 point 29.....mnyika...dv 1. point 9.
Ndugu katika maelezo yake last week JJ alisema F4 alipata A9 na kila A ina present point 1. Na huwa points 7 ndizo zinazochukuliwa, kwa hiyo JJ alipata Dv I points 7. (Msaada tu nimetoa)
 
Ndugu katika maelezo yake last week JJ alisema F4 alipata A9 na kila A ina present point 1. Na huwa points 7 ndizo zinazochukuliwa, kwa hiyo JJ alipata Dv I points 7. (Msaada tu nimetoa)

asante kaka nalijua hilo ni maandishi tu hata mimi niligonga a. 7... tanga tech ...
 
Kwa sasa Mhe. Mnyika, Mbunge wa Ubungo ndo kaingia sasa, na msafara wake wote wanatumia magari aina ya Vitz. Ben saa8 yupo hapa kwa ajili ya kuondoa sumu ya masalia (Mwampamba na Shonza) iliyomwagwa wiki iliyopita. Kuna nyomi ya kutosha!

Ntajitahidi kuwapa updates zaidi

Mkuu wacha nikuongezee uzito kwenye post yako....
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1361640619.052398.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640619.052398.jpg
    100.2 KB · Views: 133
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640629.722584.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640629.722584.jpg
    94.4 KB · Views: 105
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640640.258453.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640640.258453.jpg
    96.4 KB · Views: 103
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640654.790688.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640654.790688.jpg
    95.5 KB · Views: 97
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640668.375562.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640668.375562.jpg
    95.1 KB · Views: 87
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640679.629052.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640679.629052.jpg
    94.6 KB · Views: 91
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640693.980083.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640693.980083.jpg
    96.7 KB · Views: 84
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640713.988003.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640713.988003.jpg
    87.1 KB · Views: 80
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640725.261278.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640725.261278.jpg
    78.5 KB · Views: 91
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640739.892079.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640739.892079.jpg
    77.6 KB · Views: 88
  • ImageUploadedByJamiiForums1361640749.426693.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361640749.426693.jpg
    90.9 KB · Views: 94
Duh! Mkubwa wangu! Kumbe nawe ni mkali kiasi hicho!!!? Nakuaminia mkuu! Pale jamaa anatoa hata kafara la binadamu mkuu!
Niliwahi pita huko mkuu wangu, kuna ndugu yangu alikuwa anaumwa sana basi kulingana na imani zake akaenda huko kwa Mungu wa waziri uliyemtaja
 
Leo ilikuwa siku nzuri sana kwa wapenzi na mashabiki wa Goba na vitongoji vyake walipo muona Mbunge wao J.J.Mnyika
akifunguka kwa kuwaeleza ukweli wananchi dhidi ya uongo wa magamba hasa hasa waziri wa maji aliposema maji yatatoka tarehe 20/2/13 lakini mpaka leo hakuna maji Goba.

Mnyika ametangaza rasmi kuwa tarehe 16/3/13 kutafanyika maandamano makubwa jijini Dar es salaam,kuelekea wizara ya maji kudai maji .

lakini mkutano wa leo umehudhuriwa na makamanda mbalimbali akiwemo Kileo,mzee Mkwesule,Diwani wa Ubungo ambaye ni kiongozi wa madiwani DSM,Ambaye alifunguka na kuwataja Diwani wa goba Kisoki,meya wa kinondoni,Diwani wa viti maalum Thereza ndiyo wanaohujumu upatikanaji na maji Goba

Ben Saanani hakuwa nyuma akatoa ukweli wa siri ya masalia

baadaye Mnyika akaeleza juu ya elimu yake kuwa hata kama mtu ana elimu kubwa au ndogo kinachozingatiwa ni uwajibikaji,uadilifu ,hekima na busara,ndiyo vinavyotakiwa .

Baadaye akatoa namba ya simu ya Prof Magembe 0786-034888 na ya naibu wake 0713-335733 watu wawapigie simu wawaulize waliahidi maji mbona kimya?

ONA MA PHOTO HAPA CHINI .ASANTENI .PAMOJA SANA MPAKA UKOMBOZI UPATIKANE
 

Attachments

  • DSC04116.JPG
    DSC04116.JPG
    458.8 KB · Views: 476
  • DSC04307.JPG
    DSC04307.JPG
    308 KB · Views: 364
  • DSC04336.JPG
    DSC04336.JPG
    200.9 KB · Views: 366
  • DSC04374.JPG
    DSC04374.JPG
    312.7 KB · Views: 302
  • DSC04369.JPG
    DSC04369.JPG
    246.4 KB · Views: 310
kikubwa wakasome yeye na mwenyekiti wetu! kweli ni watu makin na wawajibikaji lkn elimu ya cheti nayo mhim!!!
 
Back
Top Bottom