Recent content by Lord Lofa

  1. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    Kwanza matumizi ya kodi zinazokusanywa yawe sahihi, viongozi waishi maisha halisi ya Watanzania, sio wao waishi kama raia wa dunia ya kwanza ilihali kundi kubwa hata mlo haliwezi kupata. Kodi ikitumiwa kwa usahihi na maendeleo ya kodi inayokusanywa yakaonekana Wananchi tutahimizana wenyewe bila...
  2. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

    fikiria watangulizi wake ndo Jaji Chande na Prof Juma, nchi hii ipo shimoni kitambo sana, inasubiri kujifia moja kwa moja
  3. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kuweka akiba kwenye mifuko ya uwekezaji

    Ni jambo jema lakini inabidi ufahamu mahesabu yako vizuri, karibu kutafakari miaka 10 iliyopita milioni 100 ilikuwa na nguvu gani, na Je miaka 10 ijayo nguvu ya milioni 100 itakuwa sawa na Malengo uliyokusudia? Kama itakufaa unaanza kutekeleza
  4. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Kigumu kipi kuelewa hapa? Watu wanatoa mifano majiji makubwa yenye kipato kikubwa bei za nyumba ni Sawa au pungufu ya kwa bei za nyumba za maeneo yetu ya kishua, na hiyo athari haiishii huko, itaenda hadi huko unakosema sio kwa kishua, sehemu ambayo mtu angeweza kununua kiwanja kwa milioni 2 au...
  5. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Msimu umeisha rasmi
  6. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatangaza Hatua Kufuatia Ripoti ya Tume

    Hizi story zipo kila miaka na hazisaidii Chochote, maridhiano nchi hii hayajaanza hapa. Hizo 4 RRRR mbona zilianza kutekelezwa kabla ya October 29, zilisaidia kuzuia kilichotokea kisitokee, ni siasa zile zile
  7. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Nafikiri wao wameweka idadi ya taarifa walizokusanya, kuna sehemu mbele kasema upo uwezekano idadi ikaongezeka kutokana na tume yao kukosa taarifa. Hawa wamefanya kazi sehemu ndogo sana ya tatizo, hawajafikia watu hata asilimia 1 ya Watanzania wote. Inshort hii Tume hamna ilichofanya
  8. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nafikiri Board na Rais wanakuwa na nguvu sana kwenye eneo la ufundi kuliko Makocha, Mi naona mzee perez kashachoka na huu ulikuwa muda sahihi apumzike, ashaifanyia club mambo mengi sana lakini zama zimebadilika kwa sasa
  9. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kuna muda unasema ngozi nyeusi kama Nyani hivi, kuna makosa watu wanafanya unashangaa
  10. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Trent hamna beki pale
  11. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hamna kitu,
  12. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hii timu tujipange upya tu, kuna kazi kubwa ya kifanya kwa misimu mitatu angalau
  13. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Update: Mfano wa oda ya mbao kutoka Njombe kupeleka Dar es Salaam yenye mchanganuo wa gharama na vibali vyote

    Msaada kwa maeneo yanayoweza kuwa na mzunguko mzuri kwa mikoa iliyochangamka
  14. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mastantuono apumzike tu, hii timu kudefend ni zero kabisa
  15. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Perez naye apumzike tu, imetosha
Back
Top Bottom