The Anfield
Senior Member
- Dec 15, 2025
- 159
- 164
Mabingwa mara15 UEFA(Bado la msimu huu linawasubiri fainali na Psg,Arsenal,Bayern au Barcelona tn) vikombe vidogo hivi naamini mnamuachia tu Bure Barca nae atambie😁🤣🤣
Unamatitizo ya akili sio bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yamefukuza kocha. Hamna timu nyie hata aje nani.
Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
Perez afanye yake Alonso time's up. Sio level ya Madrid huyu.
Umekuwa mkweli kupitiliza.Kwa kikosi chetu hiki tutafukuza makocha sana,kwa sababu yakuwa na wachezaji wengi average na hawajitumi,ukichangia na majeruhi ya wachezaji kwenye maeneo muhimu..hii timu haijabalance...kimsingi tunacheza nakushinda kwa kutumia jina kuliko uwezo wa timu na mchezaji mmoja mmoja..
Real Madrid Mmemchafulia C.V yake nzuri X.Alonso aliyoanza kuitengeneza akiwa Bayern 04 LeverkusenUnamatitizo ya akili sio bure
Real Madrid Mmemchafulia C.V yake nzuri X.Alonso aliyoanza kuitengeneza akiwa Bayern 04 Leverkusen
Once again, Mbappe anaonyesha vile alivyo sumu hatari ndani ya dressing room.Real Madrid inaweza kuelekea ilipo Man United kama itashindwa kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa na nidhamu, jana baada ya wachezaji wote kumdharau kocha na kumsikiliza Mbappè nilitegemea Alonso atabwaga manyanga.
Kizazi cha sasa cha soka kina vipaji ambavyo vitamalizwa na kiburi, wachezaji wengi hawatafikia rekodi za akina CR7 na Messi kwasababu ya kiburi.
🤣🤣🤣Ndio unajua leo? Pole.Unamatitizo ya akili sio bure
Real Madrid haiwezi kufika alipo Man United, never everReal Madrid inaweza kuelekea ilipo Man United kama itashindwa kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa na nidhamu, jana baada ya wachezaji wote kumdharau kocha na kumsikiliza Mbappè nilitegemea Alonso atabwaga manyanga.
Kizazi cha sasa cha soka kina vipaji ambavyo vitamalizwa na kiburi, wachezaji wengi hawatafikia rekodi za akina CR7 na Messi kwasababu ya kiburi.
Angalia matokeo ya leoReal Madrid haiwezi kufika alipo Man United, never ever