Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,022
Ila ukija kwenye uhalisia ni Bora Madrid katoka maana Mimi sijaona alichoonyesha zaidi ya character feki, Bayern walivyo weupe kule nyuma Kwa personality za Cristiano na kina Ramos lazima wangetepeta, ishabaki historia...wachezaji viwango vimeshuka, hawana umakini na wala hawapo serious, timu IPO disorganized kabisa, Barca walipata redi game mbili lakini angalia character & personality walioionesha, very impressive but siyo Kwa Madrid...Ninachoona lazima waingie sokoni tu, Watafutwe watu wa kazi kweli na kocha wa kueleweka.