Nipo live man, shukran kwa taarifa bossChampions league tonight against Benfica
Hii game imekataa kabisa, na mwenzie Arda Guler, sio mbaya Arbeloa akafanya jambo.Mastantuono apumzike tu, hii timu kudefend ni zero kabisa
Duuh hii imeakaaje mbona back to backRM anakutana na Benfica tena in the playoffs. I can bet a mortgage Benfica anashinda tena. Hii RM ni mbovu mno. Timu yenye mids za Tchou na Cama haiwezi kutoboa. Hamna creativity in the midfield hata kidogo. Players wote wana underperform.
View attachment 3536602
RM anakutana na Benfica tena in the playoffs. I can bet a mortgage Benfica anashinda tena. Hii RM ni mbovu mno. Timu yenye mids za Tchou na Cama haiwezi kutoboa. Hamna creativity in the midfield hata kidogo. Players wote wana underperform.
View attachment 3536602
Acha tu Mkuu, siwezi kumlaumu sana Arbeloa maana karithi matatizo matupu, acha tuende tu hivi hivi maana hatuna team ya kushindana.What's going on with Real Madrid man? Yaani timu umekuwa mediocre hatuna tofauti na Getafe kabisa