Trent hamna beki paleIla defence ya Trent 🤦🏾‍♂️
Sio mzuri kwenye kukaba, ila ni mzuri kwenye offensive, ana pass nzuri sana za mwishoTrent hamna beki pale
Ila wakimaliza hivi si wanaenda mbele?Daaah Mbappe alijitahidi kusuka assist.pale lakini haijawa
Hakuna kwenda mbele hapo ni matutaIla wakimaliza hivi si wanaenda mbele?
Jamaa sijui alikuwa anafikiria nini yaaniCamavinga amekula umeme wa kijinga sana aisee, sasa hapa sijui itakuwaje daadek
Kuna muda unasema ngozi nyeusi kama Nyani hivi, kuna makosa watu wanafanya unashangaaCamavinga hana akili hata kidogo. Yeye na Tchou huwa nashangaa hadi leo wanacheza vp RM.
Hakuna haja ya kusema hivyo, amefanya ujinga ni kweli na ameigharimu team, ndio mpira ulivyoKuna muda unasema ngozi nyeusi kama Nyani hivi, kuna makosa watu wanafanya unashangaa