Recent content by long walk

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dk. Bana ataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA

    mara nyingi kauli zake zinaonyesha ni mwanaccm, chadema haiwezi kumteua kugombea ubunge
  2. L

    JamiiForums Tanzania Eti nasikia huyu na Mtoto wa NJE wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum!

    Shetta alishawahi kuongea kupitia media kuhusu baba yake, baba yake ni Sheikh, alikuwa akisema baba yake siku za nyuma alikuwa hapendi yeye afanye muziki kwasababu muziki ni kinyume cha dini
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    huyu nafikiri ni mwanamuziki wa Uganda anaitwa, Ziggy D
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Prof. John Mshana, ndiye yule aliyekuwa Deputy Vice Chancellor wa Prof.Luhanga
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

    poleni sana Mgirik
  6. L

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday P Funky Majani

    combination ya P funky, Ludigo na Bizman ilikuwa ni kali wakati huo. happy birth day P funky
  7. L

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

    Linex alisema atagombea ubunge 2020 Kigoma kupitia ACT
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake kwa wanawake hawapendani

    mkuu matumbo, ungechambua zaidi hili swala
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    uswahilini kuna vituko wa SUMA G
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa AY

    AY ametoka mbali, aliwahi kusema aliwahi kufukuzwa nyumbani kwa wazazi wa rafiki yake baadaye akawa analala mtaani na kutumia vyoo vya mnazi mmoja kama bafu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wagawana majimbo 211

    ingawa habari haijazibitishwa. lakini ni muhimu izingatiwe majimbo ya Segerea na Mwanga Chadema wana nguvu. CUF wana nguvu Mtwara. Ilala sifikirii NCCR wanapaweza itakuwa vizuri awepo mgombea wa kutoka Chadema au CUF. Babati vijijini Chadema wana mwanachama mwenye nguvu ambaye aligombea 2010...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye Ashambulia Waandishi wa Habari.

    kama ni habari ya kweli, basi Kinana anaimudu nafasi yake, kwasababu pia alimzuia Mwigulu kuendelea na ziara zake za mikoani.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jamila Omary anusurika kifo, ni kwenye ajali ya msafara wa Kinana akiwa Ngorongoro

    nawapa pole waliopata ajali. Mwenyezi Mungu awajalie wapone.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Fast Food Sinza kwa Remmy ni wezi

    ndio wanakimbiza wateja hivyo
Back
Top Bottom