MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Hizi habari sizan Kama zina ukweli wowote
nenda lumumba utapata ukweli
Hizi habari sizan Kama zina ukweli wowote
Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), wamegawana jumla ya majimbo 211 huku wakishindwa kuelewana katika kugawana majimbo mengine 28.
Pia,jimbo la Zitto limebaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).
My take:
This is a significant breakthrough in achieving political changes in our country.
=======================
Chanzo:Mtanzania
mkuu kwa hiyo umezianini hizi habari 100%nenda lumumba utapata ukweli
Mnapima upepo wa kisiasa?
Hizi ni spinning za kitoto sana.
Kutokukubaliana ni sehemu ya siasa. Kizuri kuwe na mwafaka wa kutokukubaliana. mfano hayo majimbo 28 kila chama kipime uwezo wake...na ktk hilo ukawa inaweza kusimamisha wagombea wote (on exceptional basis). Hii itagawanya kura miongoni mwa wagombea lakini si faida kwa ccm.
Inataka moyo kujibu baadhi ya comment humu!kushindwa inamaana ndio wameachia au... USHABIKI WAKO
..hivi kule ambako wameshindwa kukubaliana, katikati ya kampeni mgombea anayeona mambo yanamuendea kombo hawezi kujitoa na kumuunga mkono mwenzake toka Ukawa ambaye anaelekea kufanya vizuri??
Inataka moyo kujibu baadhi ya comment humu!
..hivi kule ambako wameshindwa kukubaliana, katikati ya kampeni mgombea anayeona mambo yanamuendea kombo hawezi kujitoa na kumuunga mkono mwenzake toka Ukawa ambaye anaelekea kufanya vizuri??
hizi habari sizan kama zina ukweli wowote
Huu ni uwongo wa kiwango cha juu, mfano mzuri ni hapo Mwanga wanapotaka NCCR, ni lini NCCR imekuwa Mwanga? Jibu haijawahi kuwamo mwanga.
Hizo story za kupika za hawa waandishi wa habari hazina nia njema na umoja huu wa Ukawa hata kidogo.
Nccr haipo mwanga wala haijawahi kuwapo mwanga na Mwanga tutasimama na Chadema huwo ndiyo ukweli hakuna chama kingine kati ya hivi vya umoja huu ambavyo vimeweza kuingia kwenye mioyo ya Wanamwanga kama Chadema kwasasa.
Maoni yangu: umoja huu uwe makini kwenye mgawanyo wa majimbo usije ukatuletea chama kisichokubalika sehemu yeyote ile licha ýa umoja waliyo nao. Ni lazima wazingatie ukubalikaji wa chama sivinginevyo.
Sijaona NLD wakiachiwa jimbo au wao ni dhaifu ndani ya UKAWA?ni hatua njema tena ya kidemokrasia.....
Umoja ni nguvu na tena utengano ni udhaifu.
Mkuu mimi nadhani kwamba waliopewa jimbo watatafuta mtu wa kugombea na hivyo kupeleka jina NEC na jina kuteuliwa na NEC rasmi kugombea wakati vyama vingine havitapeleka majina. Hivyo kwa mfano Ubungo kutakuwa na Mnyika wa CDM akiwakilisha UKAWA hivyo NCCR, CUF na NLD hawatasimamisha mgombea Ubungo. Kwa maana hiyo hakutakuwa na nafasi ya kuachiana wakati wa kampeni kwa kuwa vyama hivyo havitakuwa na mgombea.It's also possible. Hii iwe siri ndani ya ukawa na wagombea wajengwe ktk misingi hiyo. I really urge Makene to visit these posts....adui yetu ccm aliyetufanya watanzania wote wajinga (askofu, masheh, wasomi....). wamejifanya mungu mtu...
Huu ni uwongo wa kiwango cha juu, mfano mzuri ni hapo Mwanga wanapotaka NCCR, ni lini NCCR imekuwa Mwanga? Jibu haijawahi kuwamo mwanga.
Hizo story za kupika za hawa waandishi wa habari hazina nia njema na umoja huu wa Ukawa hata kidogo.
Nccr haipo mwanga wala haijawahi kuwapo mwanga na Mwanga tutasimama na Chadema huwo ndiyo ukweli hakuna chama kingine kati ya hivi vya umoja huu ambavyo vimeweza kuingia kwenye mioyo ya Wanamwanga kama Chadema kwasasa.
Maoni yangu: umoja huu uwe makini kwenye mgawanyo wa majimbo usije ukatuletea chama kisichokubalika sehemu yeyote ile licha ýa umoja waliyo nao. Ni lazima wazingatie ukubalikaji wa chama sivinginevyo.
Mkuu wewe kweli akili yako ni shake well before use
Kikundi hicho ni kipi? umekisajili wewe?
Unajua ukizoea kuishi kwa UNAFIKI usidhani watu wote tuko hivyo.
You are better at kuwahadaa wananchi kwa kubeba matofali ilihali ni serikali yenu ndiyo chanzo cha maisha duni ya Watanzania.
Kwa sababu wewe uko na akili kwenye magoti huwezi kuelewa kuwa CCM imekataliwa....Tatizo ni voters turnover