Kwanini wanawake kwa wanawake hawapendani

Kwanini wanawake kwa wanawake hawapendani

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Habari zenu wanajamvi,

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya ambao sio rasmi nimegundua kwamba wanawake kwa wanawake hawapendani tofauti na ilivyo kwa jinsia ya kiume.

Wapo wanawake ambao hawapendi kuona wanawake wenzao wakiolewa na wanaume wenye maisha mazuri,wakipata mafanikio kama kupata kazi nzuri,kumiliki biashara za maana,kuwa na usafiri mzuri n.k

Kuna wanawake ambao wapo radhi kwenda kukopa kwa rafiki wa kiume pindi wanapohitaji msaada wa kifedha kuliko kuazima kwa wanawake wenzao hata kama wana uhakika wa kupata wanachohitaji.

Nini hasa husababisha hali hii?

Karibuni wanawake kwa wanaume tuweze kupata mtazamo wa pamoja juu ya jambo hili
.
 
We nae acha umbea leta uzi wa maana hapa unafanya utafiti juu ya chuki
 
Is that really true?

I happen not to think so.

Why do I say that?

Well, just look around, observe, and pay attention to what's going on.

Every time I do that I see men feuding with each other and sometimes those feuds turn fatal.

So why is it not said that 'men don't like each other' when they feud but when women do they are labeled as such?

I am just not buying that widespread canard.

Hating or disliking each other is not gender specific.
 
Mawe Tu hugongana na kucreate soil itakuja Kuwa binadamu? We are raised from different economic social & Religious backgrounds we are bound to differ in this rollercoaster ride called life.
 
Mh! Ivi inakuaje tafit nying ni za mwanamke au mnatuona tupo kimya kila mnalo linena?
 
Sio kweli mimi mpk hapa nilipofika nimesaidiwa sana na wanawake na mimi mwenyewe nimesaidia sana wanawake jaribu kufanya utafiti wako vizuri maana hata wanaume naona mpk wanachinjana kwa chuki ya vitu vidogo vidogo tu. Kuchukiana ni hulka ya mtu na si jinsia.
 
Mimi nitakueleza kisomi zaidi nikiwa kama mtaalam...Mwanamke ameumbwa na uchafu mwingi mwilini ndio maana ata kila mwezi anaenda period au kinyesi chake kina harufu kali sana...Sasa huu uchafu kwenye mwili unakaribisha wadudu wabaya kujificha mwilini ndio maana wanawake wengi ndio uwa na majini au mapepo...Viumbe vichafu vinavyojificha ndani yake ndio vinamfanya mwanamke kuwa na roho mbaya na kutokkuwa na upendo kwa watu haswa wenzake kama mawifi,majirani nk nk.

Hili ni swala la kitaalam ukitaka ntakuchimbulia zaidi.
 
mmmh mbona mm nawasikiaga wanaitana dear, sweetie, na hata wakati wakikutana wanakumbatia...
 
Rasilimali Kubwa Ambayo Ni Sisi Wanamume Ni Ya Nadra Na Muhimu Pia Kwao Wakati Wao ( Wanawake ) Ni Wengi Mno Na Kinachotokea Sasa Ni Kila Mmoja Wao Kufanya Juu Chini Kumvutia Na Kumshawishi Mwanaume Awe Nae. Na Hapa Ndiyo Najivunia Kuwa Mwanamume.
 
teh teh teh...sawa kaka umesomeka
 
Mimi nitakueleza kisomi zaidi nikiwa kama mtaalam...Mwanamke ameumbwa na uchafu mwingi mwilini ndio maana ata kila mwezi anaenda period au kinyesi chake kina harufu kali sana...Sasa huu uchafu kwenye mwili unakaribisha wadudu wabaya kujificha mwilini ndio maana wanawake wengi ndio uwa na majini au mapepo...Viumbe vichafu vinavyojificha ndani yake ndio vinamfanya mwanamke kuwa na roho mbaya na kutokkuwa na upendo kwa watu haswa wenzake kama mawifi,majirani nk nk.

Hili ni swala la kitaalam ukitaka ntakuchimbulia zaidi.

mkuu matumbo, ungechambua zaidi hili swala
 
Last edited by a moderator:
Wanawake tuko kwenye mashindano muda wote ndio maana hatupendani. Pia kutojiamini, hivyo anakuwa na wivu mwenzie anapomzidi kitu. Ndio maana pia wanaume wanaweza kutembea na wanawake wengi kwa mara moja maana akisema mwenzio mbaya Simpendi au namchezea tu basi mwanamke anafurahi na kujiona wa maana kuliko mwenzie na kuzidisha mahaba asijue wote wameambiwa ivo ivo.
 
Back
Top Bottom