Recent content by lonelia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Volunteer opportunities at a clearing company

    Narudia, ukiona mtu analeta dharau , mjue ana pa kuanzia asubuhi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Volunteer opportunities at a clearing company

    mm nahisi hawawzi sem akila kitu hapa. ukitaka watu tafta frshers uwafundishe kazi wapate address. ukiona mtu anadharau hv ujue ana pa kuanzia asubuhi. wala usihofu watakuja
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo za kwaya ya victory singers ya dar es salaam kama Yerusalem, Shahid etc etc, ntazinunua
  4. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA CHADEMA yapata pigo Dodoma, Kamanda Tully Nassa Kiwanga afariki dunia

    Duh, a beautiful lady has been upgraded towards the clouds to meet her creator... until we meet on that beautiful shore..... Rest in peace Kamanda
  5. L

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta, uchawi kweli upo

    Pole sana mwandishi kwa kupoteza muda wako! Endelea kuamini hivyo sababu hayajakukuta!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Mm nilioa jini.....sio mwanamke, lilipoondoka hadi Leo nashukuru. Linazurula tuuu mtaani. Mbwembwe zote na madharau hayasaidii Tena, Bro...tz juct a matter of tym. Mwanaume hazeeki. Chukua mwngne weka ndani, piga kazi, ova!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mume wangu

    Only stupid woman will enjoy this.....Tena Yule anaejifanya digitali, msomi ila hana hata chembe ya maadili.....bullshit....hana hata haya
  8. L

    JamiiForums Tanzania Harmonize msani mwenye bahati sana

    Nikisikiaga..."atarudi".....matatizo....bado....shulalalala.....niambie.....aiyola....aiseee...namkubali sana huyu konde boy
  9. L

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Sina uhakika Na hili.....seating capacity ya land cruiser kama hiyo iliopata ajali aalmaarufu mkonga ni 9. Na sio 13.....hii itakuwa ilizidisha abiria kama 4.japo kibishi mtaenda...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

    Kongole ATC Na management yake
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

    Thanks
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

  13. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

    Ninaomba Na mm nipate hizo contact tafadhali mkuu josesela
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

    Hyo bei ya 90 to 150 kodi za kuiingiza nchini inclusive au
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

    Jamaa inaonekana ukipewa ofisi kampun ya mabas kama business development manager..... Spat picha kampun itatisha.....kongole
Back
Top Bottom