Napataje mkopo wa hayo madude. Nianze na ma2. Tunduma-Dar
Sent using
Jamii Forums mobile app[/QUOT
Mhh ndugu sio kukopwa tu hawa watu wanapenda wasome kwanza mtiririko wako kwanza wa pesa kama unaruhusu lakini kama uko poa karibia makampuni mengi ya magari yanakopesha.
Mfano scania sijafuatilia kama kwetu inafanyika ila sehem kama south africa inafanyika sana wa aina tatu za mikopo
scania ambayo ni:
SCANIA FINANCIAL LEASE.
hapa unakuwa ni mmilikk wa gari unakuwa unalipa gharama ya kukodi gari muda mliokubaliana baada ya mda kuisha una option ya kununua au kurudisha .
FAIDA
Unalipia gharama ya kukodi tu.
Scania wanaendelea kulifanyia service gar lao kwa muda wote
gari kwenye masuala ya kimitaji litaendelea kuonekana kuongeza asset kuwa ni nyingi hivyo hata ukienda kukopa bank mtaji unasomeka vizuri ingawa hutaruhusiwa kukopea.
SCANIA LOAN AGREEMENT.
Gari linakuwa lako na unalitumia kukopa mkopo ambao utalipa kwa installment
Mengine sijui lakini nina uhakika ukiwa na mzunguko mzuri na mtaji anzilishi na hela ya kulipia bima kubwa makampuni mengi unapata mikopo