radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,484
Kwa hiyo unamshauri atumie power bankSiku nyingine ukianzisha biashara usianze biashara kitoto.
Maana sio kila mtu anapendezwa na mafanikio yako.
"Mbona hata computer na simu zina password/security"
Wali kwa mchicha ukila kwa mkono mtamu..sanaNilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda sana kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu.
Pole sana mwandishi kwa kupoteza muda wako! Endelea kuamini hivyo sababu hayajakukuta!Uchawi unatokana na fikra zako mwenyewe jinsi unavyo waza. Kabla hata ya friji kuanza kukusumbua ulishajijengea dhana potofu kua kuna mama anakuchukulia wateja kimazingara
Hivyo kwa dhana hiyo ukajikuta unafanya vitu bila kutafakari mara mbili kwasababu kila jambo ambalo kwako hulielewi ulilihesabu kama ni sehemu ya kurogwa
Majibu ya fundi hayatoshi kuhitimisha kua friji limerogwa. Kwanini hukufikiria kua fundi pengine hana taaluma nzuri yakutosha kuweza kubaini tatizo??
Au fundi hana vifaa vya kisasa vitavyiweza kupima tatizo la hiyo friji?
Mara ngapi hata madaktari ukienda hospitalini unaumwa lakimi ukipimwa wanasema hakuna ugonjwa halafu ukienda sehemu ingine unaambiwa aina ya ugonjwa unao kusumbua?
Kama madaktari wanakosea sembuse fundi friji ndo umuamini kua hakosei na majibu yake aliyokupa ni sahihi?
Nakuhakikishia ukiendelea ku concentrate na dhana ya "kurogwa" utapoteza umakini hadi kufikia hatua unawazidishia watu chenchi na katika hesabu zako utakuta hasara then uanze fitina kua yule mama kaanza kukuwekea chuma ulete
Kuna njia nyingi za kiushindani katika biashara na namna ya kumshawishi mteje. Unaweza ukawa na mtaji mkubwa lakini ukikosa baadhi ya vigezo utasema umerogwa. Na wale ambao utawaona wamefanikiwa utawaita wachawi kitu ambacho sio kweli
Hakuna uchawi kijana, huyo mama angekua mchawi na kwana namna ambavyo tumekua tukisikia sifa zake huyo mama asingekuja hapo kufungua duka. Angeweza kupiga bingo za maana akiwa amelala tu kwake halafu tungemuona hapa kwenye top 3 ya mabilionea
Friji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?Uchawi upo ila siyo wa kuamini sana inawezekana friji lako bovu tuu,, na vile vile ukitaka kufanya jambo lolote mtangulize mungu mbele mungu hajawahi kushindwa kabisa amini hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anakaa tambua naye ni kigagula, kuna mama alikuwa akiiuza nazi ghafula inzi hapo hapo nazi zinaozaFriji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kujitia ukipofu sasa utadhani hawajui uchawi upoFriji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vizuri sana mkuu.. You said it all.Uchawi unatokana na fikra zako mwenyewe jinsi unavyo waza. Kabla hata ya friji kuanza kukusumbua ulishajijengea dhana potofu kua kuna mama anakuchukulia wateja kimazingara
Hivyo kwa dhana hiyo ukajikuta unafanya vitu bila kutafakari mara mbili kwasababu kila jambo ambalo kwako hulielewi ulilihesabu kama ni sehemu ya kurogwa
Majibu ya fundi hayatoshi kuhitimisha kua friji limerogwa. Kwanini hukufikiria kua fundi pengine hana taaluma nzuri yakutosha kuweza kubaini tatizo??
Au fundi hana vifaa vya kisasa vitavyoweza kupima tatizo la hiyo friji?
Mara ngapi hata madaktari ukienda hospitalini unaumwa lakini ukipimwa wanasema hakuna ugonjwa halafu ukienda sehemu nyingine unaambiwa aina ya ugonjwa unao kusumbua?
Kama madaktari wanakosea sembuse fundi friji ndo umuamini kua hakosei na majibu yake aliyokupa ni sahihi?
Nakuhakikishia ukiendelea ku concentrate na dhana ya "kurogwa" utapoteza umakini hadi kufikia hatua unawazidishia watu chenchi na katika hesabu zako utakuta hasara then uanze fitina kua yule mama kaanza kukuwekea chuma ulete
Kuna njia nyingi za kiushindani katika biashara na namna ya kumshawishi mteja. Unaweza ukawa na mtaji mkubwa lakini ukikosa baadhi ya vigezo utasema umerogwa. Na wale ambao utawaona wamefanikiwa utawaita wachawi kitu ambacho sio kweli
Hakuna uchawi kijana, huyo mama angekua mchawi na kwanamna ambavyo tumekua tukisikia sifa zake, huyo mama asingekuja hapo kufungua duka. Angeweza kupiga bingo za maana akiwa amelala tu kwake halafu tungemuona hapa kwenye top 3 ya mabilionea
Hapo simple tu,Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna swala la kujizima. Ni mtu ana disconnect tu waya usiku then anarudisha alfajir. Huyo mtu aeza kua hata analipwa na huyo mama.Friji bovu! Mbona mwenzako kaeleza kirefu sana kuhusu kadhia ya friji kujizima lenyewe usiku hadi kupelekea kubadilisha na kuweka jengine, lakini wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa...Siku nyingine ukianzisha biashara usianze biashara kitoto.
Maana sio kila mtu anapendezwa na mafanikio yako.
"Mbona hata computer na simu zina password/security"
Nenda kanisani kwa maombi kanisa la mchungaji katunzi njia ya mbagala stand yA shamba mi nakwambia uchawi ungekimbia nimeona kwa macho sijasimuliwa biashara zinalogwa sana hata sasa ukienda pale unarudi upya na biashara inasonga...kuna mama waliroga chapati akaja kanisani mbona alipona na wateja walirudi.Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEMALIZA MKUU,HESHIMA KWAKOUchawi unatokana na fikra zako mwenyewe jinsi unavyo waza. Kabla hata ya friji kuanza kukusumbua ulishajijengea dhana potofu kua kuna mama anakuchukulia wateja kimazingara