Harmonize msani mwenye bahati sana

Harmonize msani mwenye bahati sana

Uzi wako umepingwa na wadau karibia wote wapo against na ww ... Nazani hautambui usemi wa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ukishalijua ilooo utawaambia JF moderator watoe huu UZI
 
Team kiba bwana....mmenshindanisha Dom na kizee chenu mmeshindwa mmeamua KUTENGENEZA timu Tena ndani ya wasafi?!
 
Nikisikiaga..."atarudi".....matatizo....bado....shulalalala.....niambie.....aiyola....aiseee...namkubali sana huyu konde boy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom