Recent content by Lomba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Papa Francis akiri kushikwa na usingizi wakati anapofanya maombi

    Haya bana :(:(:(:(:(
  2. L

    JamiiForums Tanzania Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

    Miss Natafuta mi huwa si mchangiaji sana humu. Ila kwenye hii mada, nimeshindwa kuvumilia, yaani umenipa somo la nguvu. Kwa kweli wanawake kutoenda sokoni ni janga la kitaifa. Utashangaa vigenge kila kukicha vinaibuka kama uyoga, kumbe chanzo ni uvivu wa kina mamsap wetu? Kwa kuanzia natafuta...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji wa kuniondolea upweke

    Nahitaji mdada au mama yoyote mwenye kiu ya kuondoleana upweke. Tafadhali ni pm, nipo Dar
  4. L

    JamiiForums Tanzania Banda la kufugia kuku la kupangisha

  5. L

    JamiiForums Tanzania KERO: Tanesco iweje mnakata umeme saa 7 usiku siku chache kabla ya sikukuu?

    Ndugu Wanabodi, Hii tabia wanayoifanya hawa ndugu zetu imekuwa ni kero sana kwangu. Kwa muda mrefu hawa jamaa hasa zinapokaribia sikukuu maarufu za kidini, huanzisha mgawo wa umeme mida ya usiku mnene. Hivi nnaomba kuwauliza, huwa mnafanya hivyo ili tuibiwe na vibaka wa mifugo? Ni jambo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kama Kawaida watu na media za Magharibi zina Ripoti habari kwa Ushabiki majanga ndo wanayapenda

    Aljazeera ni Western Media based in Middle East
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bombardier; Moja ya usafiri Bora kabisa wa anga Tanzania...

    This is very irrelevant.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Watanzania wengi ni wanafiki tu. Hakuna taifa lililoendelea bila miundombinu. Pengine wawe wazi zaidi, zitumike njia gani mbadala ya hizi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Salamu kwa wote. Nimeona niisemee hii kero humu jamvini wadau. Kwa muda zaidi ya wiki sasa hawa ndugu zetu wameanzisha kautaratibu ambako si rasmi, ka kutukatia umeme mida ya saa 9 alfajiri na kuurudisha saa 12 asubuhi. Sikatai inawezekana wanafanya hivyo kwa nia njema tu, lakini uzoefu wangu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Kwa siasa hizi nani atakumbuka janga la njaa?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki: Zaidi ya walimu 5000 waingia mitini

    Duuh, we ni noma.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatambua kwanini mwanamke aliesalitiwa anasamehe na mwanaume dont?

    Samehe mama, tena neno la mungu linatukumbusha tusameheni Mara 7 x 70
  13. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Ndugu hata Mimi sikuchagua CCM. Lakini kwa hotuba yake ya leo na kwa hili, jpm anapaswa kupongezwa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Wewe nani......... mxyuuuuuuuuu...!
Back
Top Bottom