Recent content by Loitore

  1. L

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Hivi huyu jamaa ni mtz au:what:
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    We kilaza kaa kimya, akizunguka kuna kinachokuwasha:what: hivi nyie fisiem kuna gharama yoyote ile inayowatoka:what: Ukawa lazima tuwashukuru wapiga kura coz wametuchagulia wabunge na madiwani wa kumwaga, Piiiiipooooozzz..!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Yote kwa yote hilo kabila ni shida:what: ni watata balaa, yaani makabila yote yana watani lakini mmeru hana:what:
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kama kuna ishu imejitokeza si muweke wazi..!?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hakika Siku zaja tutamkumbuka Jakaya Mrisho Kikwete

    Huyu atakuwa katumwa si bure:what: hiyo Richmond, Escrow unayosema ameitetea kivipi:what: katiba tumeipata:what: usilete ushabiki wa kipumbavu hapa wewe:what:eti tutamkumbuka:what:
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Wakishakua wakubwa wataamua wenyewe njia ya kupita..!!
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Sio kilaza ameeleza jinc alivyo, unachotakiwa ni kumshauri ili ajue afanye nini, ndugu yangu wewe ndiye kichwa na hakuna mahali popote duniani watoto wakafuata dini ya mama, na endapo wamefuata ni kutokana na mama kurukaruka na kukataa kumweka wazi baba wa mtoto au muda mwingine baba anafariki...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete ana siri ya makontena

    Riz moko kaitwa kuhojiwa na mjomba,ke:D
  9. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Tutakuwa tunakuja Msoga kuchota busara zako Kikwete

    Du! pale:what: ushauri kuhusu nini:what:
  10. L

    JamiiForums Tanzania Polisi 'yatumbua majipu' trafiki, yabadili mfumo

    We una miaka mingapi bhana,maana naona kama umeguswa mahali!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    Afanyaje wakati hizo hela ni za wapumbavu na malofa:what:
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Mi nilikuwa na Mmoja huyo ni shughuli, we mrudishe tu kwao utafikia mahali utalia..!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    Nguzo muhimu:what: na watoto wake na mume wake:what: msikuze mambo watz, mara pole wewe na familia yako sijui nini:what: na wengine si ajabu mnatafuta nauli muende kuhani msiba ili mle tu:what:
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Alikuja katibu wenu,akaja prezdaa mastaafu mwisho wa siku alionekana kona ya himo akila kona, Lema akawa mbunge, mafisadi wamebaki fisiem na wengine wameteuliwa kuwa mawaziri, rais wenu,sera za ukawa:D
  15. L

    JamiiForums Tanzania Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Ulikuwa wapi wakati habari hii iliporushwa kwa mara ya kwanza:what: au ndio yaleyale ya kutafuatiana nafasi serikalini:what:
Back
Top Bottom