Polisi 'yatumbua majipu' trafiki, yabadili mfumo

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
12348002_10206984506423886_3622227892902849009_n.jpg
 
kama hajagusa wale Polisi wa Usalama Barabarani wa makutano ya Barbara ya Mandela na Nyerere basi hakuna kiichofanyika maana wale kazi yao ni kukuvizia ufanye osa na pia ukilipa faini wnakutisha usidai risiti yako ili waweke fedha ulilyolipa mfukoni mwao
 
Kama RTO wa Arusha na matrafuc wake bado wapo kazini hii ni ndoto za mchana. Vibasi karibu vyote vinavyo beba abiria jijini Arusha ni vya trafic, pia unakuta trafic hana miaka miwili kazini lakini ana nyumba ambayo mtumishi mwingine wa umma aliye kaa kazini miaka ishirini hajaota kuwa nayo.
 
Kwa Arusha nasikia ni bado maana trafiki wanalalamikiwa sana huko arusha ukitoka mjini mpaka usa kuna trafiki vituo zaidi ya kumi na kila trafiki anakwenda eneo la kituo na gari ndogo hii inaonyesha arusha hawajaguswa kabisa na kweli wanawasumbua sana wananchi.Haice zaidi ya asilimia 60 zilizoko arusha ni za matrafiki,kama hamuamini kamanda fuatilia
 
Ni kosa kwa mtumishi wa umma kumiliki GARI la kuendea kazini hasa hasa walimu askar na manesi ila Tra nawenzao wenye nasaba hizo ruksa!!
 
Kama RTO wa Arusha na matrafuc wake bado wapo kazini hii ni ndoto za mchana. Vibasi karibu vyote vinavyo beba abiria jijini Arusha ni vya trafic, pia unakuta trafic hana miaka miwili kazini lakini ana nyumba ambayo mtumishi mwingine wa umma aliye kaa kazini miaka ishirini hajaota kuwa nayo.
na wewe uza Tigo ili upate, una wivu kama nyoka.
 
Wewe unakusanyiaga hela kona ya mbauda au kwaa maretuu?

Soon mtaikimbia hiyo kazi ya utraffic police kama kina masamaki.
Mmefanya barabara ni kitega uchumi chenu cha kukusanya hela, soon mtanyooka
 
Kama RTO wa Arusha na matrafuc wake bado wapo kazini hii ni ndoto za mchana. Vibasi karibu vyote vinavyo beba abiria jijini Arusha ni vya trafic, pia unakuta trafic hana miaka miwili kazini lakini ana nyumba ambayo mtumishi mwingine wa umma aliye kaa kazini miaka ishirini hajaota kuwa nayo.

Sidhani kama sababu yako hii ni ya msingi..
 
Hayo Magari ya Binafsi ya Traffic wamelipia kodi ya Kubadili Mmiliki wa Gari wakiwemo Maafisa wa TRA wengi tu na hata Watanzania wengineo wenye Magari Binafsi.Na huko kodi yetu imelala kwa kiwango kikubwa NAKO PIA IFANYIKE OPERESHENI MAALUM SI KUDHARAU TUTAJIKUTA MAKUSANYO YATAFIKIA TRILLION TATU NA USHEE
 
Hakuna jipya askari wetu wana teseka makazi yao ni duni wanakaa kwenye vigetho sio makazi yale watashindwaje kupokea rushwa nahao 157 walio timuliwa msije kuzalisha Panya flyover
 
kama hajagusa wale Polisi wa Usalama Barabarani wa makutano ya Barbara ya Mandela na Nyerere basi hakuna kiichofanyika maana wale kazi yao ni kukuvizia ufanye osa na pia ukilipa faini wnakutisha usidai risiti yako ili waweke fedha ulilyolipa mfukoni mwao
Wale jamaa wanaitaji special thread kabisa.visa vyao ni vingi
 
kama hajagusa wale Polisi wa Usalama Barabarani wa makutano ya Barbara ya Mandela na Nyerere basi hakuna kiichofanyika maana wale kazi yao ni kukuvizia ufanye osa na pia ukilipa faini wnakutisha usidai risiti yako ili waweke fedha ulilyolipa mfukoni mwao

Hakikisha kua gari lako halina makosa ili usishikwe na kutozwa faini au kilipa rushwa. Ingawa hao ma trafic wanfanya juu chini ili mradi wapata angalau kijikosa ili wakubamize.
Ili kuzuia rushwa hakikisha gari Halina makosa na kama lina makosa au umefanya kosa basi lipa faini kwa njia ya sahihi na upatiwe risiti
 
Back
Top Bottom