Magufuli: Tutakuwa tunakuja Msoga kuchota busara zako Kikwete

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakati wa hotuba yake Bungeni mh. Magufuli alisema atakuwa anakwenda msoga kwa ajili ya kupata busara kutoka kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete.

Ni matumaini yangu kuwa sasa ni wakati mzuri kwa Magufuli kwenda kupata busara ya jinsi ya kupambana na wakwepa kodi na mafisadi.
 
Ushauri? Ha ha ha
ImageUploadedByJamiiForums1450692640.268240.jpg
 
Magu akienda msoga basi ujue anataka JK asaidie upelelezi wa mafisadi wake
 
Busara za kupambana na rushwa inabidi Dr. magufuli akachuwe china. Bila kuweka sheria ya kunyonga au kifungo cha maisha hawezi kushindi vita ya rushwa.
 
Enzi za JK mambo yalikuwa bomba kweli..
Ikulu ilikuwa inalipia hadi MASAJI (kukandwa kandwa na kutomaswa tomaswa mwili) kwa maofisa wake.
Heri Mungu umemleta huyu Magufuli aokoe hili jahazi.
 
Namchukia sana Lowassa kwa kutuletea Kikwete 2005 na nampenda sana Kikwete kwa kumzuia Lowassa 2015.
 
Atamkuta huyo JK huko Msoga kwenyewe mzee anashinda mjini tu anakula bata. Kuliko kupoteza muda wa safari hadi Msoga wapeane appointment ya kukutana Dar maana CCM ni ile ile
 
Wakati wa hotuba yake Bungeni mh. Magufuli alisema atakuwa anakwenda msoga kwa ajili ya kupata busara kutoka kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete.

Ni matumaini yangu kuwa sasa ni wakati mzuri kwa Magufuli kwenda kupata busara ya jinsi ya kupambana na wakwepa kodi na mafisadi.

Uko Serious Mkwepa Kodi?
 
Kushindwa uchaguzi kuna uma jamani, yaani kuna watu wamekuwa kama machizi! Na 2020 ni kichapo kwa kwenda mbele
 
Wakati wa hotuba yake Bungeni mh. Magufuli alisema atakuwa anakwenda msoga kwa ajili ya kupata busara kutoka kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete.

Ni matumaini yangu kuwa sasa ni wakati mzuri kwa Magufuli kwenda kupata busara ya jinsi ya kupambana na wakwepa kodi na mafisadi.

Kikwete ana busara, zipi hizo au ndiyo kule kucheka bila kuulizwa habari?
 
Back
Top Bottom