Recent content by Living Pablo

  1. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nimetoka kuimaliza Evil Dead Burn, kuna part nilicheka sana yule mdada alieingiliwa na jini anatembeza kichapo kwenye familia kuna bibi anasema " I told you she was a thief😂😂"
  2. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mambo vp wakuu Kuna hii single movie inaitwa Predestination hii ni Time Travel movie bhana hii movie inavyoanza ndo inavyoisha yaani kifupi haina mwanzo wa mwisho, Tuliza akili unapoiangalia. Kama uliona series ya Dark mtu mmoja anajiazaa yeye ndo mama yeye ndo baba yeye ndo mtoto katika...
  3. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    Nakubali Mzee wa mipango
  4. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    Ahahaha bado napumua kwa neema zake Maulana
  5. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sasa Endrick amuweke Mbappe benchi!? Au unataka nani amuache emb sema Vin, Rodrigo, Bellie au Guler etii??
  6. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hawataki kusikia huu ukweli
  7. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wailete tutapita nayo
  8. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    You're welcome Lady... Hii series ni kali mno itafute hii Force ni kali sana lakini ata iyo ya Kanan ni nzuri pia umo ndani kuna watu wamepinda sana kuanzia Mama yake Kanan sio mchezo yaani ni gangsters kweli kweli... Kama ghost wakitaka kumrudisha nahisi watatumia hii book 3 Raising Kanan..
  9. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwanza jua power zipo book 4 Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake...
  10. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    hii part karibia wapenda movie wote wamefurahi, nmepita uko IG naona wengine wamerecord kabisa wanapiga kelele kwa furaha Hii Power ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥
  11. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wanapeana matumain tu mkuu kadri siku zinavyoenda izo nafasi ndo zinazid kuwa finyu, me mwenyewe nilimani niingie chomboni lakini kwa jinsi hali ilivyo nikaona nifocus kwingine tu
  12. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wazee mtazeeka kila siku kusubiria lonja!!?
  13. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Tusubiri season 5 Verse 2 iyo tarehe 25
  14. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mtiti ukiiangalia mchana kwenye mwanga huoni kitu[emoji28]
  15. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii Stranger Things imeishia patamu sana[emoji39]
Back
Top Bottom