Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,862
- 29,317
What's going on with Real Madrid man? Yaani timu umekuwa mediocre hatuna tofauti na Getafe kabisa
Timu ina wachezaji wengi sana bang average players wanaodhani wao ni superstars sababu tu wanacheza RM. Wale kina Tchou, Cama, asencio, mastatuno sio level ya Madrid hata kidogo. Na players wengine Wana underperform huku wakiwa na nguvu kuliko coaches. It's a lose-lose situation. Nina uhakika Benfica anatukanda UCL.