Unajua wengi wanakwenda ccm kwa masilai binafsi kama kupata ubunge au uongonzi.naona chama kikikosa dola ndumilakuili wote watakimbia na ndo hao wenye nguvu ya pesa chama kitakosa govu na kufa.
Nimejaribu kukitasimini chama tawala kwa sasa na matatizo yake ya makundi,viongozi wachumia tumbo na mengine mengi nakajaribu kujiuliza ccm ikiachia dola kinaweza kuwa chama cha umpinzani chenye nguvu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.