Hukumu kesi ya Mnyika kunukia kesho

Serayamajimbo

Senior Member
Apr 15, 2009
191
38
Hukumu ya kesi inayomkabili mbunge wa Ubungo John Mnyika itapangwa tarehe yake kesho baada ya walalamikaji na walalamikiwa kuwasilisha ushahidi wao wa mwisho. Kesi hiyo inaendelea katika mahakama ya kazi.

Serayamajimbo
 
Walijuta kumvua ubunge lema, hawawezi kurudia kosa lile kwani ndilo linalo wabomoa
 
Ukiona police wamejanza wengi ujue magamba washakaa juu ya sheria!
 
Hukumu ya kesi inayomkabili mbunge wa Ubungo John Mnyika itapangwa tarehe yake kesho baada ya walalamikaji na walalamikiwa kuwasilisha ushahidi wao wa mwisho. Kesi hiyo inaendelea katika mahakama ya kazi.

Serayamajimbo

Fafanua hapo.
 
hivi hizi kesi ziko ngapi mahakamani...mbona haziishi, jamani hizi mahakama hazina shuhuli nyingine za kufanya??
 
Hapo sina imani hata chembe.....Jaji mwenyewe si alishajudge wakati wa usikilizaji?? Hapo tuwe tu tayari kuangukia pua. inauma lakini naiona hivyo...
 
Kesi za Y. Makamba bado hazijaisha tu siwalisema kufikia tarehe 4 ziwe zimeisha.
 
Hukumu ya kesi inayomkabili mbunge wa Ubungo John Mnyika itapangwa tarehe yake kesho baada ya walalamikaji na walalamikiwa kuwasilisha ushahidi wao wa mwisho. Kesi hiyo inaendelea katika mahakama ya kazi.

Asante kwa taarifa, but kinachofanyika kesho ni majumuisho ya mwisho "Final Submission", na siyo ushahidi wa mwisho.
 
Back
Top Bottom