Ccm kuwafungulia kesi wabunge wa upinzani inamanisha nini?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kuwafungulia kesi wabunge wa upinzani inamanisha nini?.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, May 3, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Asilimia kubwa ya wabunge wa upinzani walioshinda kwa tiketi ya vyama vyao wamelalamikiwa mahakamani na wabunge au wanachama wa ccm kuwa hawa kushinda kihalali.je inamanisha kuwa wapinzani ndio wamebobea kwa uchakachuaji wa kura kuliko ccm?.au kwa mtazamo wa ccm hakuna chama chenye uhalali wa kuongoza isipokuwa ni ccm tu na ndio wenye akili kuliko wanachama wa vyama vingine na wasiyo wanachama wa chama chochote au pengine wao wana hatimiliki na uongozi wa nchi hii hivyo inapotokea mpinzani ameshinda wanaona wameingiliwa kwenye haki yao ya msingi ndio maana wanawahi mahakamani kudai haki yao wanayoona wamepolwa na wapinzani.
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mfa maji haachi kutapatapa...
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kwani Mpendazoe na wale wa Shinyanga mjini ni CCM
   
 4. l

  liverpool2012 Senior Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee makamba aliwambia wafungue kesi chama kitalipa gharama zote.
   
Loading...