Recent content by liverpool 1

  1. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man uu naona wanasonga kuelekea makao yao namba ya kandambili (7)
  2. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    De ddeee hrtlr V rvrv
  3. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kesho tunajipigia hawa man city
  4. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

    Usikurupuke kumbuka mwanamke ni dhaifu saana,af isitoshe huyu mkeo anahuruma saana kakuhudumia na kukuvumilia kipindi chote cha mauguzo yako ,from my deeply heart ov decision yoo just come down as a men thinking of ur beloved family b4 injury, mpe nafasi ya upendeleo.
  5. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

    Mwenyezi Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi na wapumzike kwa amani. Amina
  6. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Watu kama nyie mpo wengi, kwani yy anawalazimisha kumwandika?na hata kama ni hivyo usemavyo, wewe huoni akifanyacho kwa manufaa ya nchi ni kizuri?
  7. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Kwa kweli Rais tumempata tumuuombee kwa Mungu na tumpe ushirikiano wa kila mtu kutimiza wajibu wake.
  8. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kwa mama wa kambo ananitaka kimapenzi

    Mpe afaidi
  9. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Uko sawa kabisaa mkuuu
  10. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mimi ni wa ukawa damu damu ila nilichagua tingatinga, watu wasitumie matokeo ya ushindi wa wabunge ukawa tuliowachagua kusema na lowasa atashinda hapohapo ,watanzania tunajitambua bwaaaana.
  11. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    Lowasa kazika ukawa na itakuwa ukiwaaaaaa
  12. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tinga tinga hoyeeeee,Tanzania ya magufuli ni ya Viwanda
  13. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ancelot soon iz going to take cover of team manager at liverpool fc
  14. liverpool 1

    JamiiForums Tanzania Ni Uwezo wako wa kutambua Fursa

    Thanks
Back
Top Bottom