Recent content by livelong

  1. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya mapenzi

    No baadaya kumwona akitaka kula na toothpick ya sikioni
  2. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya mapenzi

    Ni kweli nimeamini
  3. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya mapenzi

    Sikuweza kunywa kwani niliishia kutapika na sina hamu ya kula hadi leo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya mapenzi

    Hii habari nimeiona kwa macho yangu mwenyewe sio kuhadithiwa. Habar za majukumu wana jf poleni na makali ya maisha na mbano wa mkuu wa kaya. Niende kwenye story kamili. Baada ya kutoka kutoka kwenye majukumu yangu hivi muda wa jioni kama saa moja nikaona supu ya pweza sehem huku watu wakianza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufungua channels kwenye smart TV

    Nipm no yako nikueleweshe
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Galaxy Note 4

    Nauza galaxy note 4 yangu imetumika miezi mitatu tuu. Ina warranty ya miaka miwili na iko kwenye hali nnzuri. Niko dar 0718351924 bei ni 630000
  7. L

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

    Juzi zimevuma hapa za kile kilichosemwa ni waraka aliotoa John Mnyika akitaka lowassa akamatwe kwa ufisadi. Mimi sio mwandishi mzuri sana au sio mwanasiasa mzuri ila nna maswali mengi kichwani. Natilia shaka juu ya huu waraka unaweza kuwa ni wa kutengenezwa, kwanini? 1. Kwanini ccm wasitafute...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasheria wanavaa suti ?

    Wanasheria uchwara
  9. L

    JamiiForums Tanzania Picha Zinatisha: Akamatwa na kichwa cha binadamu huko Mbeya

    Aliyechuna ngozi alitokea uchagani?
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakina baba/kaka

    Aliyeandika huu uzi ni single mother.
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

    Ungekua karibu yangu leo ungekunywa bia sana. Yaani utadhani ulikua kichwani kwangu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hoja ya msingi ya kambi ya upinzani bungeni kutoka nje imeonekana

    Asante kwa kuchangia. Kuna haja kubwa ya kuachana na kuwajibu hawa wachumia tumbo wa lumumba hapa jf, tunapoteza muda mwingi kuwajibu huku wakijisikia wana kitu kichwani kumbe ni empty backet. Lets focus on issue not hawa lumumba
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Vijana wa buku7 lumbumba wameongezewa sasa hivi wako dodoma pia wamejifungia wanacoment jf
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea UKAWA hivi sasa kinanifanya niwakumbuke Dk. Slaa na Zitto

    Cmm- "mbunge yeyote atakayeshindwa kukubaliana na bajeti hii arudishe kadi ya uanachama" wabunge wa cmm=225, wabunge wa upinzani=118. Maamuzi ya kupitisha bajeti au kuipinga ni ndioooooo na hapana. Hapa kwa akili yako ni wabunge wepi wataipitisha hiyo bajeti na ni wangapi wataipinga? Kwa hesabu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea UKAWA hivi sasa kinanifanya niwakumbuke Dk. Slaa na Zitto

    Mtabwabwaja hapa mwisho wa siku mtalala wachumia tumbo nyie. Wapinzani wakitoka inakuhusu nini
Back
Top Bottom