Wakina baba/kaka

Wakina baba/kaka

Labda nikuulize mleta Uzi, ataanzaje kunipiga?
 
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.

ah wee mwanamke akupige jibaba lizima mbona ubwe..ge huo jamani. as a man u need to put a woman in her right place which is ...yeye ni wa kugegeedwa, kuzaa na kulea familia
 
Na tuishi nao kwa akili!
Hivyo kuishi na mke ni kipimo cha akili kwa mwanaume.
Ukiona unapigwa noa akili! Jiulize unakosea wapi!?
Ukiishi kwa akili na mkeo hata awe kakuzidi vipi kipato.atakupenda na atakuheshimu tu!
 
  • Thanks
Reactions: kui
We acha kunawake wanamaliza kilo ya dona na maharage, ukiingia ndani anakuwakia umetoka wapi? Ukichelewa kujibu umekula zinga la kibao. Kwa kweli kuna wanaume wananyanyasika sana kwenye ndoa na hawawezi kusema hadharani.
Yatupasa kuanzisha TAMWA ya wababa/kaka wajameni
 
Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.
kumbeeee!!!
 
Mwanamke anayempiga mme wake atakua ana mashetani ndani yake yanayomuongoxa kufanya hivyo.

Haiingii akilini kabisa.
 
ah wee mwanamke akupige jibaba lizima mbona ubwe..ge huo jamani. as a man u need to put a woman in her right place which is ...yeye ni wa kugegeedwa, kuzaa na kulea familia

Wewe ndo wa kupigwa. Ovyo!
Wanawake do more than that these days.
 
Never in a lifetime will a woman beat me up. Not Gina Carano, not any. I'm just too stupid to ever caught myself in anything physical(except nasty) with any woman.

With confrontational women, you go rope-a-dope.
 
Wewe ndo wa kupigwa. Ovyo!
Wanawake do more than that these days.

sasa kwani wewe unavyotaka kuolewa kazi yako nini huko kwenye ndoa kama sio kugegedwa na kuzaa? ebu kaa kwenye ndoa alafu usizae uone mtiti wake.

hizo "more" ni extras dada.
 
So "extras" anazofanya hazina maana?, za maana ni kugegedwa na kuzaa tu?
 
So "extras" anazofanya hazina maana?, za maana ni kugegedwa na kuzaa tu?..again...Ovyo!

ebu wewe hizo exras ambazo unaona za maana kwako wewe niwekee hapa labda utanifumbua macho

but plz usiniambieeti mwanamke anaweza kuongeza kipato cha familia, thats irrevant becoz hilo sio jukumu la mwanamke. mwanamke lake kuhudumiwa.

i do agree behind every succesful man there is a woman, that woman is ur mother not ur wife. na ndiomaana nasema mwanamke jukumu lake kuu kugegedwa, kuzaa na kulea. mengine mbwembwe tuu.

ni sawa na mwanaume jukumu lake kuu ni kumuhudumia mwanamke, suala la mie najua kugegeda vizuri hizo mbwembwe tuu
 
We acha kunawake wanamaliza kilo ya dona na maharage, ukiingia ndani anakuwakia umetoka wapi? Ukichelewa kujibu umekula zinga la kibao. Kwa kweli kuna wanaume wananyanyasika sana kwenye ndoa na hawawezi kusema hadharani.

Vp ww au na ww unatoa kipigo kwa mumeo?
 
ebu wewe hizo exras ambazo unaona za maana kwako wewe niwekee hapa labda utanifumbua macho

but plz usiniambieeti mwanamke anaweza kuongeza kipato cha familia, thats irrevant becoz hilo sio jukumu la mwanamke. mwanamke lake kuhudumiwa.

i do agree behind every succesful man there is a woman, that woman is ur mother not ur wife. na ndiomaana nasema mwanamke jukumu lake kuu kugegedwa, kuzaa na kulea. mengine mbwembwe tuu.

ni sawa na mwanaume jukumu lake kuu ni kumuhudumia mwanamke, suala la mie najua kugegeda vizuri hizo mbwembwe tuu

Huh!,...News to me!
Behind every successful man there is a woman and that woman is his mother?!!, kama hajaoa sawa.
Mwanaume akioa anaenda ishi na mama yake au na mkewe?

And what do you mean when you say mwanamke hawezi kuongezea kipato cha familia? Ina maana wanawake wenye kazi zao na wanaojituma hawahesabiki kama wanafanya ya maana katika jamii?!, OMG!
 
wee angalia qualities ambazo wanawake love connect wanataja and u will see tayari wanataka ready made man, sasa mke hapo kachangia nini? mke anakuja kufanya finishing tuu bwana wewe mama mzazi ndio kaweka msingi na kunyayua boma.

kuhusu kipata, mara ngapi wanakuja wanaume hapa wanalalamika wake wana mshahara lakini kila kitu ni kwa mwanaume kutimiza, hadi petrol ya gari. mwanamke pesa yake ni yake mwenyewe contibution atakayotoa itakuwa 5% tuu 95 % ya mambo ya nyumbani anabeba mwanaume ata kama mwanamke ana kazi na kipato kizuri.
 
Anipige niwe nimekufa aisee hao wanaopigwa ni marioos na mabushokeee na wanaotegemea mwanamke ki uchumi
 
wee angalia qualities ambazo wanawake love connect wanataja and u will see tayari wanataka ready made man, sasa mke hapo kachangia nini? mke anakuja kufanya finishing tuu bwana wewe mama mzazi ndio kaweka msingi na kunyayua boma.

kuhusu kipata, mara ngapi wanakuja wanaume hapa wanalalamika wake wana mshahara lakini kila kitu ni kwa mwanaume kutimiza, hadi petrol ya gari. mwanamke pesa yake ni yake mwenyewe contibution atakayotoa itakuwa 5% tuu 95 % ya mambo ya nyumbani anabeba mwanaume ata kama mwanamke ana kazi na kipato kizuri.

Kwa hiyo hao (that certain amount) who want ready-made men or contribute little in the family ndo inakufanya uamue kuwa the whole group wako hivo?!
 
Back
Top Bottom