Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia muenenendo mzima wa siasa nchini na nimebaini kuwa Viongozi wa upinzani wa kipindi hichi hususani CHADEMA, ipo haja ya kuwatathmini ama wao kujitathmini ni wapi wanapwaya.
Ukiangalia kwa umakini sababu iliyowatoa bungeni sidhani kama inaeleweka vizuri.
Kwa siku ya Jana tarehe 20/06/2016 nimejaribu kumsikiliza James Mbatia kwa kina labda ningeweza kubaini sababu hasa inayotufanya kuendelea kuyafanya haya tunayoyafanya.
Lakini pia najiuliza, hivi viongozi wetu wana "compare" kweli faida
na hasara ya hivyo vitendo vinavyoendelea kwa mustakabadhi wa chama na Taifa kwa Ujumla.
Swali langu ni je hivi Dk. Slaa au ZZK wangekuwepo katika uongozi tungelifikia hatua hii?