Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

Kama yeye ni mkurya msingizie anatembea na msela yoyote utakaemuona karibu nae halafu mgonge viboko haswa hapo lazima ataelewa how much you love her.
Akiamua afanye kweli. Jamaa si itakula kwake[emoji32]
 
ukipokea mshahara wote mkabidhi yeye, nyumbani kwako wajae ndugu zake tu, shida ikitokea kwao uwe wa kwanza kusaidia na Zaidi ya yote simu yako iwe kama yake lakini wewe ni marufuku kugusa ya kwake. Trust me u will be the best man ever na daima utaenziwa. Ila juwa jambo moja tu, hawa viumbe hawaridhiki na daima hawajui walitakalo.
Ungekua karibu yangu leo ungekunywa bia sana. Yaani utadhani ulikua kichwani kwangu
 
ukipokea mshahara wote mkabidhi yeye, nyumbani kwako wajae ndugu zake tu, shida ikitokea kwao uwe wa kwanza kusaidia na Zaidi ya yote simu yako iwe kama yake lakini wewe ni marufuku kugusa ya kwake. Trust me u will be the best man ever na daima utaenziwa. Ila juwa jambo moja tu, hawa viumbe hawaridhiki na daima hawajui walitakalo.

Huu ushauri utakufanya ugongewe siku sio nyingi aisee, mwanamke asipoona upendo ukiwa unamdekeza sana mpeleke kijeshi akili itamkaa sawa tu!
 
Huu ushauri utakufanya ugongewe siku sio nyingi aisee, mwanamke asipoona upendo ukiwa unamdekeza sana mpeleke kijeshi akili itamkaa sawa tu!
Hawa viumbe hawatabiriki ndugu. Unaweza ukampa dunia yote lakini akaenda kwa kapuku, unaweza ukamuenzi na kumuheshimu lakini akaishia kwa jitu babe na linalompiga. Kwa kifupi ukitaka kufurahia mwanamke ni yule anaekupenda wewe maana tofauti na hapo daima utakuwa mwendawazimu
 
mhh, You know they say you don't know what you got until it's gone
Ili ajue kwamba unampenda jaribu kuacha kumfanyia kila kitu ambavyo unamfanyia sasa kumuonyesha unampenda, usimfanyie chochote kuwa kauzu tu

then baada ya muda ata realise kuna vitu nilikuwa nafanyiwa vizuri kumbee, kumbe alikuwa ananipendaa
then akisha realise hivyo unarudisha mahabat ya mwanzo, nadhani ataanza ku appreciate,

mimi nilishamfanyia mpenzi wangu hivi nikachukua risk nikasema either tuachane au ajitafakari upya na kuni appreciate ninavyomfanyia,
na alijuta akanipenda mara dufu

Mimi nilidhani wanaume ndio hutake love for granted kumbe hadi wanawake??
Wanawake ndo wanaongoza kutake love for granted
 
Hahah...ila huyu jamaa hawezi kua serious...unaanzaje kukosa cha kumfanyia mke?!
Teh teh..Inashangaza kwa kweli..Huyu jamaa atakuwa aidha hajiamini,ni mpole sana,ana aibu au sio muongeaji..So interaction na mke wake sio kubwa kitu kinachomfanya ashindwe kumsoma mkewe uzuri
 
Teh teh..Inashangaza kwa kweli..Huyu jamaa atakuwa aidha hajiamini,ni mpole sana,ana aibu au sio muongeaji..So interaction na mke wake sio kubwa kitu kinachomfanya ashindwe kumsoma mkewe uzuri
umemaliza broo
huyu jamaa arudi jando
hii ni aibu kubwa kwa morani
 
Mali zako zote andikisha kwa jina lake, mpe passwords zako zote kuanzia kadi za bank na pia za mitandao yote uliyojiunga. Kama ni mwendaji bar hakikisha unaenda nae na mhimize ajiliwaze baa hata pale unapokua umesafiri. Mu-introduce kwa washkaji zako woote wa karibu na wape hao washkaji namba za simu za mkeo ili wawe wakimcheki kuhakikisha hana na hapati tatizo wakati wowote ule.
umesahau na ampe na namba za michepuko yooote, ili awe anajua leo yuko kona ipi na kipusa kipi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom