Recent content by Liuumi

  1. Liuumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya kuchakata pisi ya kiarabu leo

    Sikujui Mkuu ila umenichekesha sana Ndugu yangu Maana ndio kusema Waarabu hao wana u ndugu na Boss wa Buti la zungu
  2. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kashasema (Chole Road) mbona inatosha kujua anafanya Kazi gani
  3. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Machizi wanapenda kuja kwangu

    Una moyo safi
  4. Liuumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi zikifa unafanyaje?

    Kama Hard disk imekuwa kubwa au Ndogo Maana kuna vitu vitashindwa kukaa sawa kwa sababu ya ku update system Alafu kuhusu swala la Kumtongoza tena changamoto iko kwenye vitu hivi -Vocha ya simu ili uwe kila wakati unapiga simu na kutuma sms -Lakini pia mazingira wakati huo alikuwa kwao lakini...
  5. Liuumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    Yaani Titicomb haswaa umeshauri hekima zaidi ya upeo wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Liuumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    Kama kweli tabia iyo bado anaendelea nayo kwa Sheria ya kimaumbile na Imani ya Dini yangu angekuwa tayari kashaumbuliwa na Mungu, “ Karma never mis adress”. Ila poleni na fanya ukaribu wa zaida kwa watoto wako wote na watoto wa nduguzo ila wawe friendly kwako au kwenu wayasema wasioweza...
  7. Liuumi

    JamiiForums Tanzania I have been scammed 1,100$ through Forex

    Sijui Kama watu wamekuelewa Hapo pa Investors password Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Liuumi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani Tanzania kuweni makini na zoezi hili linaloendelea huko mitaani, hapa kuna wizi wa kura

    Duuuh, haya bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopakua muvi kisha wanauza, bando gani au chanzo gani cha intaneti huwa wanatumia?

    Mkuu naomba link ya telegram group
  10. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    I like zinawahi kuchafuka na zina chelewa kutakata@kidambinya
  11. Liuumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitego ya wadada kwenye barbershops

    Kweli leo nimeamini tuchunge sana either ndimi au vidole vyetu Yaani kwa hapa alikuvutia JF anakosa lugha sahihi juu yako ndio na Unamwambia yeye alikuwa sehemu ya wewe kujiunga bila shaka kuna Nondo sana kutoka kwake zilikufanya mpaka ukavutiwa nae ila safi Umemaliza vizuri sana kwamba Bado...
  12. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Bora nikate tamaa ili niwe salama

    Bwana Daviie kwanza pole na sio kwamba watu hawayapitii unayopitia wewe NO. Wanapitia ila katika muktadha tofauti ila sijui katika haya nitakayo kushauri lipo litakalo leta maana kwako lakini kwa upande wangu baada ya kuyaona haya ya uyaonayo wewe leo kupitia JF nilitafuta namna nini nifanye...
  13. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Tuwalinde watoto wetu jamani hata baina yao

    Kaka jambazi umejibu “upuuzi”sana kiasi nimecheka hapa nilipo
  14. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaishi Dar, lakini hawajui hapa ni wapi

    LAPF second phase (Millennium tower)
  15. Liuumi

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Profesa Assad ya kujishusha iwe Funzo kwa wastaafu watarajiwa

    “Udhaifu” sio tusi na kusema ukweli kwake nisehemu ya Imani yake Udhaifu ni Sawa nakusema hali ya bwana yule inazidi kuwa dhaifu kadiri siku zinavyo zidi kwenda hujatusi bado unaelezea namna hali ya kitu au Mtu alivyo [STRONGNESS/WEAKNESS]
Back
Top Bottom