Kuna kila dalili ya kuchakata pisi ya kiarabu leo

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa.

Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na castle Light ya baridii kabisa kujipongeza.

Kwa pembeni naona kuna mtoto wa kiarabu koko ananikodolea kodolea macho, Nimeshaanza kumkonyeza na kuwasiliana nae kwa siri, Soon, soon nawaambia nitamtia kwenye imaya yangu na kwenda nae kusherehekea siku kuu hii ya leo.

Soon, soon ameshajaa kabisa huyu wakuu.

Nitakuja na mrejesho baada ya kufanikisha misheni hii.

Cc Zero IQ
 
We si umepima ngoma leo, hukomi tu?
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom