Recent content by lipwid

  1. L

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    Hapo wala hamna tatizo..muda unatosha sana. Dakika 15 soma maswali yote..Dakika 10 chagua maswali rahisi.. baada ya hapo anza kujibu kwa spidi..pumzika dakik 5 endelea kujibu..dk 5 nyingine proof read
  2. L

    Naona giza nene limeifunika Tanzania katika uchaguzi Mkuu Wa 2015

    Hatma ya maisha yetu yako mikononi mwetu..atakayeitupa silaha asilalamike ..ni vita ya ukombizi
  3. L

    Tunduma UKAWA wafunika kufunga kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mchangiaji wa mwisho amepaniki
  4. L

    Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume wake ni "Mume suruali tuu!.

    Kwa uzoefu nilionao ...ukiona maneno meeengi..jua point ni hafifu so inajaziwa jaziwa nakshi ili iwe na mashiko..next time kuwa na maneno machache kauongo kanaweza kuaminika
  5. L

    Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Tuko na watoto hapa ..inakuwa mushkeri
  6. L

    Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Watangazaji bana ...kwa nini Hawasemi Daniel tu ikatosha..
  7. L

    Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Ebana sserunkuma..ni jina linalotajwa mara nyingi bila sabab
  8. L

    Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Kesho tunahamia kwenye kura Mura..Na huko tunariadhibu ri chama
  9. L

    Mabadiliko na maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe.

    Wananchi ni mambululaaaa
  10. L

    VIP ya Rugemalila yaita maazimio ya bunge ni ya kipuuzi

    Sijui kwa nini mutu ikibanwa kwa hoja..anatoa maneno yasiyo na mashiko na kuita watu majina ya wanyama
  11. L

    Madereva wasiowajibika watawaharibia SuperFeo

    Ebana dar songea ni mbali sana sasa kinachoniuma ni spidi kali hata kwenye miteremko..unaweza ukasali mpaka ukaonekana chizi
  12. L

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Ebana pongezi kwa Mleta uzi..mimi nimesoma the richest man in Babilon ni nomaa..sasa nshaanza kupata mpunga kwa kutumia principal nlizojifunza
  13. L

    Mke wangu analalamika sana kuhusu kazi yangu

    Kwa uzoefu nilio nao hapo waifu ana jamaa anamsubua na yeye yuko njia panda kuchepuka..sasa anataka akuonye ili akichepuka usije ukamlaumu..atasema si nilikwambia
  14. L

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    EL Hana miguu kweli..walisahau kuiweka ha ha ha
Back
Top Bottom